je ni halali?

davy dan

Member
Mar 22, 2012
8
3
eti wadau ni halali kwa askari polic au mwanajeshi kutopanga foleni ya kwny atm bank hii imetokea leo nikiwa bank kwny folen alitokea askar wa kikosi cha ffu alipita moja kwa moja had kwany atm na kuacha watu wengine wakiwa wamepanga foleni,je ni halali?naomba ufafanuz wadau
 
Back
Top Bottom