Recent content by David Guetta

  1. David Guetta

    WANAWAKE WA AINA HII WANA MAANA GANI?

    Kama aliingiza dole gumba basi rinda moja limeshatatuka.
  2. David Guetta

    Mtoto wa kike tunalumbana kila kukicha unangangania kuhamia kwangu,huon hata noma

    Mtu asipokupenda ni balaa tupu, unaweza piga simu ukaambiwa unammalizia charge.
  3. David Guetta

    Je, ni taswira gani ujengeka kichwani mwako linapotajwa jina la mwanamke wa JF?

    Atoto atakuwa mwalimu mkuu au mwalimu wa nidhamu, na anapenda sana kuchapa watu viboko.
  4. David Guetta

    Ni mara nyingi nimekuwa disappointed na Zawadi

    Hawa dawa yao ni kutowapa zawadi.
  5. David Guetta

    Rayvany hauna Mke hapa

    Wanawake wote wanapenda pochi, hata avae vitenge
  6. David Guetta

    Hivi wanaume mnakwama wapi jamani??

    Kengele si zipo karibu na mfereji [emoji3][emoji3][emoji3] Ila watu mna roho kweli.
  7. David Guetta

    Hivi wanaume mnakwama wapi jamani??

    Mambembe naona umerudi tena. Kama mtaro wake unakuchefua mwambie ausafishe kabla ya kugegedana
  8. David Guetta

    Stress kidogo ziniaibishe kwa mke wangu

    Siku hizi ni kazi kweli kumgegeda mke wako.
  9. David Guetta

    Moyo wa huyu mzee umenidondokea

    Unaweza kuolewa naye kwa ajili ya shida zako halafu ukatangulia kufa wewe
  10. David Guetta

    MWANAUME KUWA NA RAFIKI WA KIKE

    Urafiki huo ni kama kutumia muwa kama fimbo ya kutembelea
  11. David Guetta

    I don’t wanna marry him, what should I do?

    Hahahaha, sijataka kuendelea kufanya profiling. Ila mtoa mada alikuwa anamaanisha anaweza kusimama kwa miguu yake. Nadhani angekuwa hana biashara zake, hii mada tusingeiona.
  12. David Guetta

    Hataki kutoa kipochi manyoya hadi ndoa

    Naomba namba yake nimkanye.
  13. David Guetta

    I don’t wanna marry him, what should I do?

    Sometimes namwelewa mtoa mada sometimes simuelewi. Namuelewa kwa sababu najua huwezi lazimisha kupenda. Nashindwa kumuelewa kwa sababu naona ana ego flani hivi, maana sentensi tatu anatamka, "biashara zangu". Sitaki kuendelea kufanya profiling, lakini, a brother is in a very difficult...
Back
Top Bottom