Moyo wa huyu mzee umenidondokea

Ujasiri wa wanawake ni wa kiwango cha kimataifa, unalala na mzee/babu wa 81yrs?
 
Wewe ni aina ya wanawake wanao kubali mtongozi hata kwa barua tu. I mean wewe hata SMS inatosha kukufanya ukubali kuliwa.
Nisipokuwa mnafiq, wewe ni mwanamke laini na rahisi sana tena mwepesi kama kipande cha tissue.
Aina ya wanawake kama wewe ni wepesi sana kudanganyika na ndio hasa wanawake ambao hujuta sana maishani mwao kwa maamuzi yao ya kukubali haraka.
 
Hahaha mimi mwenyewe nimechoka. .. Ijapokuwa hapa haja sema kuwa amesha lala nae. ..ila naamini kabisa itakuwa ame edit story yake
Ujasiri wa wanawake ni wa kiwango cha kimataifa, unalala na mzee/babu wa 81yrs?
 
Aise
Wewe ni aina ya wanawake wanao kubali mtongozi hata kwa barua tu. I mean wewe hata SMS inatosha kukufanya ukubali kuliwa.
Nisipokuwa mnafiq, wewe ni mwanamke laini na rahisi sana tena mwepesi kama kipande cha tissue.
Aina ya wanawake kama wewe ni wepesi sana kudanganyika na ndio hasa wanawake ambao hujuta sana maishani mwao kwa maamuzi yao ya kukubali haraka.
 
mwambie akujengee kwanza.....hati zote ziwe na jina lako.......then mtunuku.....hana miaka mingi sana huyo uenedelee na yule sweet wako....
 
Wewe ni aina ya wanawake wanao kubali mtongozi hata kwa barua tu. I mean wewe hata SMS inatosha kukufanya ukubali kuliwa.
Nisipokuwa mnafiq, wewe ni mwanamke laini na rahisi sana tena mwepesi kama kipande cha tissue.
Aina ya wanawake kama wewe ni wepesi sana kudanganyika na ndio hasa wanawake ambao hujuta sana maishani mwao kwa maamuzi yao ya kukubali haraka.
Sijafanya maamuzi yoyote mkuu ni vile mzee anataka kuwa karibu sana na mimi
 
Hawa ndo wanawake ambao wengine tunataraji kuwaoa...lakini kumbe wanakuwa na mawazo na fikra hasi vichwani mwao.
Usishangae binti wa miaka 22 kutafunwa na babu wa miaka 72...
 
Acha uzinzi imjue Mungu okoka acha tamaa za dunia.
Kuzini unaona kawaida wakati ni dhambi ya mauti.
Mpokee Bwn Yesu akuondolee tamaa na roho ya uzinzi eti huruma!!
 
Soma vizuri mkuu ...usicomment kama haujaelewa

Umeongea vizuri, mpe kampani tu huyo mzee, kwa umri huo na hiyo sukari hata game hawezi, sana sana atashindwa, kama unavyosema mzee amekupenda kuwa rafiki yake mpe kampani tu ataridhika.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom