Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 568
- Thread starter
- #21
AiseeSiwezi kuwa na rafiki wa kike lazima nitarusha ndoano anipe papuchi au urafike uishe
AiseeSiwezi kuwa na rafiki wa kike lazima nitarusha ndoano anipe papuchi au urafike uishe
Kazi kweli kweliurafiki wa Simba na Swala ni wa mashaka
Same to him? Usiusemee moyo, moyo wa mtu kichaka unajuaje ukute anakupendaInawezekana kabisa.nina rafiki wa kiume mzuri tu .simtaki kimapezi same to him
Tuko mabest sana
Akili zao wanazijua wenyewe,tafuna mkuu na ukitaka kufanya hivyo usimwambie,we mtoe 'out' mambo mengine mtamalizana huko;kumuacha hivyo anakuona na wewe uko nae sawaAlaaa kwahiyo mkuu mkitafunana kutakuwa na urafiki tena? C mnahamisha kambi sasa
mkuu ni kazi haswa, kuwa na marafiki wa kike ama jinsia mbalimbali ni tija katika mambo tofauti tofauti na ni jambo jema pia ila mpaka na msimamo ni jambo lakuzingatia sanaKazi kweli kweli
Alaaa...sasa jee...😅wewe hutaki kulambwa..???Umesema kwa msisitizo [emoji23] kwani urafiki nao mpaka mkono ulambwe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa kwanini anakukazia hivyo mkuu
Aaaaaa una maana ipi sasa madame[emoji38][emoji38][emoji38]mkono mtupu haulambwi jomoniiii....
😛😛Aaaaaa una maana ipi sasa madame
Kibongo bongo tutachelewa sana, huo urafiki hatuuwezi umenena vyema mkuu, yani mwisho wa siku ni mapenzi tu hakuna kingineUrafiki huo ni kama kutumia muwa kama fimbo ya kutembelea
Inawezekana kabisa.nina rafiki wa kiume mzuri tu .simtaki kimapezi same to him
Tuko mabest sana
Wewe ushazeeka miaka 35Inawezekana kabisa.nina rafiki wa kiume mzuri tu .simtaki kimapezi same to him
Tuko mabest sana
Muda wowote matumizi yanabadilika ,ni kweli kabsa,nimeupenda mfano wako kiongoziUrafiki huo ni kama kutumia muwa kama fimbo ya kutembelea