"MOYO MASHINE" [emoji180][emoji307]

livewise1

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Messages
303
Points
250
livewise1

livewise1

JF-Expert Member
Joined May 25, 2019
303 250
SALAAM WAKUU.

*Aisee moyo mashine wazee!!!

♡Kwanza nilikuwa siamini kama bado kuna watu wanazimia kwa stress za fumanizi.

☆Kuna jamaa yangu (tunafanya kazi pamoja) nilipigiwa simu j.3 jioni amelazwa hospitali, nikaja kumuona j.4.

♧Kufika pale ananiambia alimfuma demu wake (ambaye nami namjua) yupo na jamaa mwingine. Wakati anamgombeza akafika jamaa mwingine nae akasema ni demu wake.

☆demu anaulizwa vipi hii changanya changanya...akajibu anawapenda wote na hayupo tayari kuwaacha huku anatoa mchozi.

♤demu akazimia na jamaa akazimia hapo hapo hao wengine wawili haijulikani.

♡baadae babake na demu si akaja bana, kumbe demu wa kishua (pesa ipo) jamaa ameambiwa subiri utaona mwanangu akitoka hapa hospitali.
Mzee akaondoka zake....mda kidogo meseji ikaingia kwa jamaa demu wake anamwambia "NAOMBA USINIACHE NTAKUFA MPENZI WANGU" jamaa kaduwaa tu. Mbaya zaidi demu anapajua kwa jamaa (anapoishi) na kwao jamaa.(wanapoishi wazazi)
Saivi jamaa amerudi nyumbani kwao kwanza kwa sababu hajui nini kinaendelea upande wa pili.

Amenitaka ushauri mpaka leo sijamwambia kitu wakuu.
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
32,002
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
32,002 2,000
Aendelee tu na demu wake 'Lakini aishi nae bila ya kuwa na Imani nae kubwa kama ile imani aliyokuwa nayo awali dhidi yake -Maisha ya mahusiano kwa miji iliyo endelea ndivyo yalivyo

Otherwise awe single tu '.
 
livewise1

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Messages
303
Points
250
livewise1

livewise1

JF-Expert Member
Joined May 25, 2019
303 250
Eti wote wa3 anawapenda.
Ukijumlisha na mkwara wa dingi ake daah
Wanyama pori pamoja na utamu wao wote Huwa tunawawinda kwa ajili ya kuwala sio kufuga ili kuepukana na adha ya kuwafuga

Ukijitia kuwafuga basi wawindaji watakuja kuwawinda kwny Banda lako badala ya kufuata porini
 
livewise1

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Messages
303
Points
250
livewise1

livewise1

JF-Expert Member
Joined May 25, 2019
303 250
Yaani jamaa aendelee ku share na wenzake maana demu kamwambia hawaachi wote na baba ake demu kampiga mkwara jamaa.
Aendelee tu na demu wake 'Lakini aishi nae bila ya kuwa na Imani nae kubwa kama ile imani aliyokuwa nayo awali dhidi yake -Maisha ya mahusiano kwa miji iliyo endelea ndivyo yalivyo

Otherwise awe single tu '.
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
32,002
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
32,002 2,000
Hawaachi wote! !? Hahaa huyo ni muhuni sasa. .. wamchukue wa -mpige 3 some tu hakuna namna 'hapo ' kisha atafute mwanamke mwingine wa Ndoto yake. .huyo mwanamke anafaa kuwa wakupasha nae viporo tu ..not wife to be
Yaani jamaa aendelee ku share na wenzake maana demu kamwambia hawaachi wote na baba ake demu kampiga mkwara jamaa.
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
32,002
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
32,002 2,000
Muambie huyo rafiki yako anipe namba za huyo demu wake ni mpe ushauri na-saha mimi ni criss mwahuki
Demu anamtakia nini sijui jamaa maana kama pesa demu ipo na hiyo kuwapenda wa3 inakuwaje.
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
11,050
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
11,050 2,000
Hao wote wapelekwe burigi haraka wakaungane na faru rajabu
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
25,186
Points
2,000
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
25,186 2,000
Bahati yake UKIMWI HAUPO TENA
🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃
 
livewise1

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Messages
303
Points
250
livewise1

livewise1

JF-Expert Member
Joined May 25, 2019
303 250
Anashangaza
Hawaachi wote! !? Hahaa huyo ni muhuni sasa. .. wamchukue wa -mpige 3 some tu hakuna namna 'hapo ' kisha atafute mwanamke mwingine wa Ndoto yake. .huyo mwanamke anafaa kuwa wakupasha nae viporo tu ..not wife to be
 

Forum statistics

Threads 1,315,255
Members 505,171
Posts 31,851,570
Top