Hivi wanaume mnakwama wapi jamani??

Dada unakosea ukisema wote kwakuwa Mimi haujawahi kuziona naniliu zangu😁😁!
wengine private parts huwa ndiyo priority yetu katika usafi
Maneno tu hayo hapo unakuta msitu wa amazon alafu ukishuka huko bondeni hapatamaniki
 
kwanza my dear wakubali kwanza kuwa huko chini hawapakumbuki and most of them wakioga wanajimwagiaa tu maji then wanasepaa they dont use brush kujisuguaa wao ni mbio mbio tu tena usiombe ukutane na mfanya biashara asiyekaa ofisini doooh and kuhusu sisi wanawake unajuaa kabisa wanaume wanajifanyaa hawanaga tym na wake zao wakiwa nyumban ndo maana wanaawachaaa
Mkuu, kweli unataka tusugue mbupu? Unajua jinsi gani zilivyo delicate? Yaani kwa jinsi zilivyokuwa soft halafu tusugue na dodoki tena kwa nguvu, hutupendi na wala hutaki ulalwe vizuri...
 
TZ kuna watu milioni 55, tuanze kukokotoa.
milioni 10 wazee.
milioni 15 watoto, miaka 17 kurudi nyuma.
milioni 20 wanawake.
milioni 15 wanaume, hapa tutatoa milioni 5 ya wanaume wenye matatizo mbalimbali ambao kwa namna moja au nyingine utashindwa kufikia gololi zao, kwahiyo watabaki milioni 10 ambao ni marijali.
tuchukue 90% ya milioni 10....
90%/100 x 10000000 = 9,000,000
number don't lie, asilimia 90 ya milioni 10 ni milioni 9........kwahiyo dada yangu hiyo risechi yako ulifanya kwa watu milioni 9??????????
😂😂Teh teh teh teh 🤣🤣🤣 we ni noma! 👊👊👊.
 
Vita ya wanaume na wanawake JF haijawahi kuisha...

Haya bi mkubwa tutakuwa tunajiswafi, je una kingine unataka kutuelekeza?
 
Hiyo ndio kazi yenu kabla ya 6 kwa 6 mnaleta ka taulo unasafisha vizuri pana kuwa fresh nitafute pesa nikupe nikusugue halafu ushindwe kusafisha makende yangu kweli?
Chakula unajipikia mwenyewe? Nguo unajifulia mwenyewe? Vyombo unaosha mwenyewe? Nyumba unasafisha mwenyewe?
 
Hoja zako zina mashiko ila kumuangalia mme wako ni wajibu wako
Ni wajibu wangu kama simsaidii kutafuta pesa wala kuhudumia familia ila ndoa za siku hizi ambazo mwanaume na mwanamke wote tunagangamala na maisha mchana kutwa

Usiku tunarudi tumechoka bado tena mnataka tukirudi tuanze kuwaangalia nyie? Na sisi nani anayetuangalia sasa?

Maana kama ni pesa wote tunatafuta na familia wote tunahudumia kwa sababu inaonekana wanaume wa siku hizi mmeshindwa kufanya hayo peke yenu sasa na sisi tunaporudi tumechoka nani atuangalie?

Hapo ndipo mnapofeli mwanamke anayetakiwa kumuangalia mumewe ni yule ambaye anashinda tu nyumbani anasubiri kuhudumiwa na mumewe hatafuti pesa wala kuhudumia familia ila sisi wengine mtakuwa mnatuonea tu
 
Kweli nakubaliana nawe
 
Back
Top Bottom