Stress kidogo ziniaibishe kwa mke wangu

steveachi

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Messages
5,391
Points
2,000
steveachi

steveachi

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2011
5,391 2,000
Duh,kweli siku hizi wanaume hakuna
 
W

Wise E

Senior Member
Joined
May 10, 2019
Messages
137
Points
250
W

Wise E

Senior Member
Joined May 10, 2019
137 250
Inshu kama hizi ni ndogo ndogo sana kuzileta humu mzazi kama wewe. Anyway sorry kama nimekukwaza bro.
true that anaonekana ni mtu mzima sana kweli id zinaficha mengi
 
Hunyu

Hunyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,620
Points
2,000
Hunyu

Hunyu

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,620 2,000
Wanawake/mkeo wengi hawana hekima (wabinafsi). Wanachotakiwa wajue kuwa kwa mwanaume yeyote ukionesha dalili za kuwa disapointed na tendo la ndoa vyovyote vile tayari umemmaliza huyo mwanaume hata kama hana hilo tatizo.

Mwanamke mwenye hekima akiona kitu kama hicho anamkumbatia mmewe na kumwambia pole mme wangu najua umechoka pumzika tutaendelea ukiwa uchovu ukiisha, au anamwambia nimelizika mme wangu hata kama kwa kufake.

Mwanamke akifanya hivo atamkimbia huyo mme kwa show kali kali...
 
Hashpower7113

Hashpower7113

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
1,040
Points
2,000
Hashpower7113

Hashpower7113

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
1,040 2,000
Wasukuma bwana! Jogoo la shamba haliwiki mjini ngosha!
 
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
5,430
Points
2,000
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
5,430 2,000
pole sana mzee mwenzangu
 

Forum statistics

Threads 1,315,270
Members 505,171
Posts 31,851,972
Top