Recent content by dav22

  1. D

    JamiiForums Tanzania “Ammunition Hill/Operation Opera” Tukio Lingine la kumuwahi Adui Kwa kumpiga Ngumi ya Chembe(Mossad)

    aiseee sasa ndugu si utuwekee hapa pdf aiseee watu turuke nacho bana usitubanie bana kama vipi naomba unirushie hiki kitabu private, maana nimekitafuta ebay naona wanasema hawaship to TZ
  2. D

    JamiiForums Tanzania Jiondoe kwenye adha ya kupaka rangi kila mara kwa kutumia materials hizi

    Hebu toa rough estimate mfano nyumba ya vyumba vitatu self contained ya kawaida inaweza nicost kiasi gani kwa kila aina ya material na ingekuwa vizuri kama ungetoa na sababu kwanini material moja ni nzuri kuliko nyingine ama ni mazingira yapi kutumia labda material hii au nyingine katika baadhi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua huduma chanel; ninunue king'amuzi au dish for lifetime?

    Nipo DSM nahitaji dish ft 8, lnb za akili pamoja na decoda ya maana nile maisha naomba mchanganuo wa bei pamoja na fundi mzoefu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kusomea Sekondari (A-Level) nchini Uganda

    Shule ulizozitaje mwanafunzi akiyefeli hawezi kupata kama hiyo St Henry Kitovu wanachukua top cream tu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kupotea Digital TV kwa wenye TV za digital

    Kwahiyo ni kwamba hizi TV zetu zenye built in ving'amuzi ni useless tu kama TV za Analog aisee
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB

    NMB huwa kazi zao mauza uza aisee
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kupotea Digital TV kwa wenye TV za digital

    Du kwahiyo imekula kwetu sasa
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kupotea Digital TV kwa wenye TV za digital

    Hapana mi nilikuwa napiga za continental pia
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kupotea Digital TV kwa wenye TV za digital

    Du kumbe na visimbuzi vimeanza hii shida sasa kuna tatizo kubwa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kupotea Digital TV kwa wenye TV za digital

    Njooni wataalamu maana nimehisi kama vile TV imeharibika
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kupotea Digital TV kwa wenye TV za digital

    Nina kama wiki Tatu sasa Digital TV haioneshi kitu chochote? Pamoja na ku search na kugeuza antena?? Vipi wengine mmepata hili tatizo pia kwa wale wenye TV zenye built in ving'amuzi ? Je solution yake ni nini??
  12. D

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi Vs. Waziri Mkuu, nani mwenye mamlaka/mkubwa kwa mwenzie?

    Aisee hapo kwenye maneging operational issues za TISS na PCCB mbona kama vile anapewa madaraka makubwa mnoooo
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa hali Hii kuna haja ya kuhama Voda

    Vodacom naona wanataka kuchukua namba ya tigo katika kukera watu aisee
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kumfukuza kazi Rished Bade ni kumpiga teke chura?

    Kwa shavu la TRA hakuna bank inaweza match hilo shavu hata wampe hela hadhi itakuwa imeshuka sana
  15. D

    JamiiForums Tanzania Barclays imeinunua Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)?

    Hii nimeiona kwenye changes za banking system ya NBC maana wamekuwa paperless na risiti zinafanana na zile za barclays
Back
Top Bottom