TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
hapa gavana inabidi atuelezee vizuri inakuwaje makampuni yaendeshe account zao kutokea south Africa? kuna siku nilitaka bank statement kutoka stanbic nilizungushwa kama week nilivyokomaa nikaambiwa haijatumwa kutoka south Africa kwa hasira nikafunga account yangu stanbic hadi wa leo sinao hamu tena.
haya makampuni ya kigeni kushika njia kuu za uchumi hapana inabidi lifanyiwe kazi lazima economic hub zote ziendeshwe na state au local companies. hengera kwa tpdc kuanza utafiti wa mafuta yenyewe badala ya kutegemea wawekezaji.
Nimelipenda hitimisho lako lkn it's too late now, NBC ilikuwa bank muhimu sana kwa uchumi wa nchi,bahati mbaya sana tuliongozwa na viongozi wa.pu.mbavu sana waliosababisha yote haya kwa tamaa zao za fedha. Natamani tungempata Magufuli baada ya Mwinyi haya yote yasingetokea,alaaniwe Mkapa.