Kumfukuza kazi Rished Bade ni kumpiga teke chura?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Tayari ndugu Bade ameshaanza Mazungumzo ya awali juu ya Kuchukua kazi katika moja ya Bank maarufu hapa nchini na kwa uzoefu na Uadilifu wake atakua na msaada mkubwa mno kwa bank hiyo ambayo pia imejizolea umarufu. Tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya.

N.B Kazi za Uteuzi huwa hazishushi CV ya mtu all the best Bade.
 
KAZI NJEMA BUT MUST BACK ALL 80 BIL.+ ITS FINES.
ii
 
Hakuna benki bongo inayoweza kumlipa sawa na michongo aliyokuwa anai-make pale TRA kwa hiyo huyo chura kapigwa teke kuelekezwa kwenye dimbwi la maji moto au vuguvugu.BTW:Lengo la kumtimua siyo kwamba ili akose kazi kwingine ndo maana kocha akifukuzwa timu A wiki inayofuata anasaini mkataba timu B.
 
Tayari ndugu Bade ameshaanza Mazungumzo ya awali juu ya Kuchukua kazi katika moja ya Bank maarufu hapa nchini na kwa uzoefu na Uadilifu wake atakua na msaada mkubwa mno kwa bank hiyo ambayo pia imejizolea umarufu. Tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya.

N.B Kazi za Uteuzi huwa hazishushi CV ya mtu all the best Bade.

Jifarijini tu wezi wakubwa nyie. Eti tunamtakia kila la kheri!! Sema unamtakia kila lakheri.
 
Tayari ndugu Bade ameshaanza Mazungumzo ya awali juu ya Kuchukua kazi katika moja ya Bank maarufu hapa nchini na kwa uzoefu na Uadilifu wake atakua na msaada mkubwa mno kwa bank hiyo ambayo pia imejizolea umarufu. Tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya.

N.B Kazi za Uteuzi huwa hazishushi CV ya mtu all the best Bade.

Acha kujifariji cheo alichotolewa ni kikubwa mno
 
Tayari ndugu Bade ameshaanza Mazungumzo ya awali juu ya Kuchukua kazi katika moja ya Bank maarufu hapa nchini na kwa uzoefu na Uadilifu wake atakua na msaada mkubwa mno kwa bank hiyo ambayo pia imejizolea umarufu. Tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya.

N.B Kazi za Uteuzi huwa hazishushi CV ya mtu all the best Bade.

Ana kesi kubwa ya kujibu na sijui kama atatoka salama. Na sijui kama kuna Bank itampokea maana atatoka Jela amezeeka nani Risk kua nae
 
Kwa shavu la TRA hakuna bank inaweza match hilo shavu hata wampe hela hadhi itakuwa imeshuka sana
 
Tayari ndugu Bade ameshaanza Mazungumzo ya awali juu ya Kuchukua kazi katika moja ya Bank maarufu hapa nchini na kwa uzoefu na Uadilifu wake atakua na msaada mkubwa mno kwa bank hiyo ambayo pia imejizolea umarufu. Tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya.

N.B Kazi za Uteuzi huwa hazishushi CV ya mtu all the best Bade.

bade hawezi pata kazi popote benki kwa jinsi alivyoboronga baclays nk
 
Hiyo bank au taasisi yo yote itayonwajiri itakuwa sawa kipofu kuomba aongozwe njia na kipofu mlemavu wa miguu pia. Hivi mnafikiri sawa2 kweli nyie? Kweli TZ bado safari ndefu sana
 
Tayari ndugu Bade ameshaanza Mazungumzo ya awali juu ya Kuchukua kazi katika moja ya Bank maarufu hapa nchini na kwa uzoefu na Uadilifu wake atakua na msaada mkubwa mno kwa bank hiyo ambayo pia imejizolea umarufu. Tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya.

N.B Kazi za Uteuzi huwa hazishushi CV ya mtu all the best Bade.

Ninyi ndo wale wale tutadili na nyini mpaka kieleweke kudadadeki....!!!!! zenu
 
Back
Top Bottom