Kupotea Digital TV kwa wenye TV za digital

dav22

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
1,887
311
Nina kama wiki Tatu sasa Digital TV haioneshi kitu chochote? Pamoja na ku search na kugeuza antena??

Vipi wengine mmepata hili tatizo pia kwa wale wenye TV zenye built in ving'amuzi ? Je solution yake ni nini??
 
Njooni wataalamu maana nimehisi kama vile TV imeharibika
 
Mimi nina kisimbuzi cha digitek kimekata siku tatu mfululizo nimezungusha antenna mpk nimekata tamaa,sijui ni balaa la wapi hili..
 
Du kumbe na visimbuzi vimeanza hii shida sasa kuna tatizo kubwa
 
Nafikiri ulikuwa unategemea Chanel za digitek Ambazo kuanzia tarehe 15 zimefungiwa hazipatikani tena free to air.
 
Labda tumerudishwa analogy kimya kimya si mnajua hata bunge tutaangalia recorded
 
Kwahiyo ni kwamba hizi TV zetu zenye built in ving'amuzi ni useless tu kama TV za Analog aisee
 
Back
Top Bottom