“Ammunition Hill/Operation Opera” Tukio Lingine la kumuwahi Adui Kwa kumpiga Ngumi ya Chembe(Mossad)

Wale wadau mlio omba kitabu kimetumwa angalieni inbox kwa email mlizotuma. Naomba wengine wakijitokeza toeni msaada wa kuwatumia.
 
Mkuu wewe na wengine wote wapenzi wa Mambo ya Mossad nawaomba mtafute hiki kitabu natuma cover yake tu kitabu chote naogopa copyright law. Humo kuna story za kusisimua zaidi ya mission 22 zilivyotekelezwa na Mossad hadi za karibuni za mwaka 2011.
View attachment 446295
View attachment 446297

aiseee sasa ndugu si utuwekee hapa pdf aiseee watu turuke nacho bana usitubanie bana kama vipi naomba unirushie hiki kitabu private, maana nimekitafuta ebay naona wanasema hawaship to TZ
 
aiseee sasa ndugu si utuwekee hapa pdf aiseee watu turuke nacho bana usitubanie bana kama vipi naomba unirushie hiki kitabu private, maana nimekitafuta ebay naona wanasema hawaship to TZ
Mkuu siwezi kuweka hapa kwa sababu ya Copyright law. Kuna jamaa toka Trinidad and Tobago masikini kama mimi alishare kama sio kitabu basi movie akafuatiliwa na wahusika akatozwa Dola miilioni kadhaa. Nitumie email yako PM nitakutumia au wale watu niliowatumia watumieni na wengine.
 
operation entebe nadhan nimewah kuileta ngoja niitafute. humu ndani. Mossad ni wazuri sana kuliko hata CIA au KGB ni wazuri sana. kiukweli hata mimi huwapenda. na mambo yao huwa ya kimya kimya sana.

Mimi nawakubali sana KGB kuliko MOSSAD NA CIA. Mkuu hebu tuletee ya KGB na mission zao.
 
Mossad's Secret Warriors -- GIDEON'S SPIES
Gordon Thomas

Hawa jamaa wako vizuri
 
Back
Top Bottom