Kwa hali Hii kuna haja ya kuhama Voda

Kwa hali Hii kuna haja ya kuhama Voda

papiso

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Posts
392
Reaction score
241
Habari wadau
Leo nimesikitishwa sana na huduma ya internet ya voda hapo awali ulikuwa ukijiunga na kifurushi cha buku kinakata baada ya masaa 24 ila leo hata masaa manne tu hayajaisha huduma ishakata sasa huu si wizi jamani,kwa kweli voda nimewachoka
 
Voda inamikiwa na Jambazi Sugu ambalo linarudisha peremende lililokuwa linazigawa wakati wa uchaguzi. Kukaa na simu ya Voda ni ugonjwa, dawa yake ni kubadili mara moja.
 
Voda inamikiwa na Jambazi Sugu ambalo linarudisha peremende lililokuwa linazigawa wakati wa uchaguzi. Kukaa na simu ya Voda ni ugonjwa, dawa yake ni kubadili mara moja.

Au linatuadhibu kwa 'kuibiwa' kura na walalahoi
 
1. Nilikuwa na airtime ta 70,000

2. Ukiachilia mbali no-1 hapo juu nimejiunga internate ya 25,000

Mim siompigaji wa simu mara kwa mara

Cha ajabu bila kutarajia 70,000 zimesha

Kama nimatumizi labda 15,000 lakin cha ajabu sina salio.

Nikweli kabisa vodacom niwezi na hii stail yakutubia haikubaliki kabisa
 
Vodacom naona wanataka kuchukua namba ya tigo katika kukera watu aisee
 
Huu wizi najiuliza

Tcra wapo?

Tbs wapo?

Takukuru wapo?

Serikali ipo?

Kwanin vodacom waendeshe uharamia wakishenzi kiasi hiki kudhulmu haki za msing kwa wateja?

Huu ni upuuzi wa serikali ya ccm kushindwa kuwekeza vema katika utawala bora

Sijuwi kama prof Nkoma anajuwa majukum yake......hopless professor

Sijuwi kama aliyekuwa waziri husika prof makame mbarawa alifaham majukum yake.....again hopless prof

Nikwanini wanashindwa kutetea nakulinda haki stahiki za wateja? Hawa maprofessor wetu niwatu wa hovyo sana

Real they should be theoretical not practical professionals.

No wonder hata mkwere akapewa uprof because it makes no difference at all when compared to chines awarded professor mkwere against tz professsional professors!

This is embarrassing and disgusting for sure. Why? How and whom to blame?
 
Voda wote ni nyumbu sana kama walivyo nyumbu wenzie
 
Mh! Mie ntaendelea kuitumia maana napata angalau dkk 100 kwa sh 200 na mb 100 wiki nzima.
 
Jamaa wamekuwa wezi sana, na Yule February alikuwa naibu waziri iliyokuwa ikisimamia haya makampuni ya simu!

- Customer Care, ukipga namba 100 itaita hata lisaa limoja bila kupokelewa kwakuwa ni bure, ila ukipiga hii wanayo kuchaji 15366, fasta inapokelewa!

- Kuuliza salio tu kwenye mpesa, wanakukata.

- Ukiwa na Airtime, bila kufanya lolote ukicheki huikuti, washaichukua!

- Unaweza uwe na salio say 1000, na unataka ujiunge na bando Fulani la thamani ya 1000, inakugomea kuwa huna salio wakti kipindi cha nyuma iliwezekana!

- Kwenye internet ndio wizi wa hali ya juu! Serikali ipo wapi?
 
Huu wizi najiuliza

Tcra wapo?

Tbs wapo?

Takukuru wapo?

Serikali ipo?

Kwanin vodacom waendeshe uharamia wakishenzi kiasi hiki kudhulmu haki za msing kwa wateja?

Huu ni upuuzi wa serikali ya ccm kushindwa kuwekeza vema katika utawala bora

Sijuwi kama prof Nkoma anajuwa majukum yake......hopless professor

Sijuwi kama aliyekuwa waziri husika prof makame mbarawa alifaham majukum yake.....again hopless prof

Nikwanini wanashindwa kutetea nakulinda haki stahiki za wateja? Hawa maprofessor wetu niwatu wa hovyo sana

Real they should be theoretical not practical professionals.

No wonder hata mkwere akapewa uprof because it makes no difference at all when compared to chines awarded professor mkwere against tz professsional professors!

This is embarrassing and disgusting for sure. Why? How and whom to blame?
Mambo yalianza kuharibika baada ya yule jamaa kupewa unaibu waziri wa mawasiliano
 
Voda inamikiwa na Jambazi Sugu ambalo linarudisha peremende lililokuwa linazigawa wakati wa uchaguzi. Kukaa na simu ya Voda ni ugonjwa, dawa yake ni kubadili mara moja.

tabia ya kuchafua watu kisa wamehama kwenye chama chenu sio nzuri wakati waovu mmekaa nao meza moja mkijifanya hamuwaoni kisa wapo kwenye chama chenu
 
tabia ya kuchafua watu kisa wamehama kwenye chama chenu sio nzuri wakati waovu mmekaa nao meza moja mkijifanya hamuwaoni kisa wapo kwenye chama chenu

Wacha kutoa povu, Voda walipe kodi sahihi na waache kuwakamua walipa kodi kwa sababu tu Jambazi Sugu linataka kuwapa peremende za kulambalamba. Regulator wa simu hasa za mkononi anakuja katika awamu hii ya JPM mtakiona cha NTEMA KUNI.
 
Back
Top Bottom