Recent content by Daudi1

  1. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Mpangaji mpya

    Ndio maana vijana hawaoi kumbe, yaani kirahisi tu mtu akuombe umpikie from no where na wewe ukakubali, ukishapika atakuomba umfulie na nguo, na kitanda umtandikie na nyumba umsafishie mwisho ataomba na rungu asuuze, maana safari moja huanzisha nyingine
  2. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania ya Pili Afrika kwa Wagonjwa wa Kisukari, kiwango chaongezeka kwa Asilimia 250 tangu 2011

    Mungu nisaidie nikazane na haya mazoezi kwakwel, kitambi sitaki
  3. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Msimamo wetu wanaume kwa mambo yanayoendelea sasa hivi kwenye ndoa...

    Nimeshakula, ni muda wa kwenda kumla mpishi
  4. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

    M2 ukatoa kabisa, halafu M15 ukatoa kabisa kabisa? We jamaa umewekwa kwenye chupa
  5. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    Ukweli utawekwa wazi
  6. Daudi1

    JamiiForums Tanzania SIMANZI MOROGORO: Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

    Dah! Watu 28 ni familia 28 ziko kwenye majonzi ya kupoteza ndugu zao, Mungu tusaidie
  7. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuwepo kwa Mvua kubwa kwa mujibu wa TMA

    Anamaanisha huko singida haiwezi kunyesha kubwa, huku tu mwambao kwa pwani mambo bado jua linaendelea
  8. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

    Hao mwili mmoja wakifika huko watasimama, aliyetaka mwenzake atangulie katangulizwa
  9. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Kwenye hati ndio msingi wa tatizo, na wengine wanasema huyo mwanamke ametishiwa kuuawa muda mrefu inaonekana ni mkorofi pia na mbinafsi ndio maana mwisho wa siku kapata alichokitaka
  10. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Kama walikubaliana basi mali zote zilikuwa zao, isingekuwa katika makubaliano mwamba angenunua kiwanja sehemu nyingine na akajenga ila naona ni ulaghai wa mwanamke
  11. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Hoja hiyo wanairuka wanakimbilia mbele, kwanini talaka itoke na majina ya mama na watoto Baba akawekwa pembeni? Maana hapo ndio tatizo lilipoanzia ukianza ooooh sijui alimvumilia tu, ooh ndoa ilikuwa imeisha zamani, bila hilo swali kujibiwa bado unakuwa unaruka ruka
  12. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Kosa namba moja hilo hapo, kwanini hati itoke kwa namna hiyo maana yake Baba hana chake hapo
  13. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

    Wekeni hayo majukwaa ya kuwakomboa wanaume, kama mnaavyodai Ulitakiwa ujiulize miaka ya nyuma yalikuwepo? Kwanini hivi miaka ya karibuni?
Back
Top Bottom