Mapenz ni uzushi!

Mapenz ni uzushi!

Hakuna mapenzi na wala haitakaa iwepo ni ubatil mtupu.ndoa ni ubatili mtupu.Maisha ni kuish single tuh mama na kupenda sana.
Kama huna wa kukupenda jikaushe tu, kaa na usingle wako ila usiseme eti usingo ni raha hakuna raha yoyote ya usingo
 
Mapenzi ya kweli yapo kwa mama yako siyo kwaajili yako ni kwaajili ya baba yako mapenzi yapo kwa watu baadhi maana hata kwang hakuna mapenz
 
mwanamke kama HAKUPENDI basi kuna ANAYEMPENDA ambaye SIYO WEWE.
so nI HERI ..OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA📌
 

Attachments

  • Screenshot_20260221-161550.jpg
    Screenshot_20260221-161550.jpg
    98.5 KB · Views: 2
  • 3b0e267845b8b2e9924004271108003c.jpg
    3b0e267845b8b2e9924004271108003c.jpg
    28.8 KB · Views: 3

Similar Discussions

Back
Top Bottom