Ubinadamu ni kazi sana

Ubinadamu ni kazi sana

Jidanganye mimi hula mali safii.

Hao wanawake wote tumekutana mashuleni, na maofisini na wengine walikuwa maboss zangu...

Kuna aina ya mali nakula mzee, lazima iwe safi na inayojiheshimu
Kwahy ukikutana nao mashuleni na wakiwa maboss wako n hawajaliwa na wanaume wengn?
 
Hakika ubinadamu ni kazi sana.

Tunatamani pesa ila tukiipata tu naona haina maana.

Tunapenda wanawake wazuri, ila tukichapiwa tunasahau ni kwa sababu kuna mtu anadau zaidi yetu.

Wanawake nao wanashindwa kuchagua kati ya pesa na upendo... Wakiona pesa wanatoa upendo kwa muda , pesa ikizidi wanatafuta wanayempenda... WTF

Aisee..

Ukijipata unaringa, ukikosa mali wewe ni kapuku.

Ukiwaasa wajitume wa nakwambia kwani maisha yako, ukifanikiwa wa nakuomba connection...

Wanasema ukifa unaenda mbinguni, ila hawataki kufa ili kufika huko. Na wanamwomba yule aliye waambia huko kuna makao mema, awaongezee miaka ya kuishi kwenye dunia ya mateso...

Hawapendi ukweli ila uongo kwao ni mwiko. Wanaishi maisha ya kuigiza ila malipo yake ni kifo tu, sasa sijui wanamuigizia nani..

" ukweli ni kuwa hatuogopi kufa, tunaogopa kuishi" na kuishi kuna anza pale unapokufa kabla hujafa na kugundua hakuna kifo"

Tuwahini kazini sisi wamatumbi. Tukaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight..
Hayo yote ni ubatili mtupu
 
Kama ulivyosema unampambania mwanamke mzuri ukishampata na kulala naye baadaye unamuona wa kawaida, unapambana kutafuta pesa ukishazipata ni za kawaida
Sikusema hivyo kuhusu mwanamke niliongelea kuchapiwa

Kuhusu pesa, kuna utata kidogo kama huna attachment na vitu pesa inakuwa na thamani
 
Back
Top Bottom