Recent content by Dash

  1. D

    Samuel Sitta amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Madeni Kipande

    Huyu Kipande si ndio aliyesababisha bodi ya TPA kuvunjwa :-) . Nadhani siku chache zilizopita alimtoa kafara Mkurugenzi wa ICT au sio yeye huyu?
  2. D

    Zungu kama mwenyekiti wa bunge

    Yah ni ccm lakini kwa kweli angalao anapokaa yeye pale anakuwa fair kiasi anaweka mambo mengi sawa.
  3. D

    Zungu kama mwenyekiti wa bunge

    Huyu mbunge wa Ilala akiongoza bunge kama mwenyekiti huwa napenda sana. Jamaa angalao huwa anakuwa fair kiasi
  4. D

    Inasikitisha sana: TTCL Yafilisika Rasmi

    Ray of hope on horizon for TTCL BY SYLIVESTER DOMASA 29th January 2015 Email Print TTCL Chief Executive Officer Dr. Kamugisha Kazaura (R) together with MS Huawei Technologies Managing Director, Bruce Zhang shake hands after sealing a US$182million deal on Tuesday. Tanzania...
  5. D

    TTCL yanasaini mkataba wa bilion 300 na Huawei

    Hivi watu huwa mnataka nini hakuna hata kimoja mnachoangalia kwa macho chanya kila kitu mnaangalia kwa macho hasi tu
  6. D

    Kwanini bei ya mafuta Haishuki Tanzania?

    Sijui kama kuna thread tayari inazungumzia hii topiki lakini nimeandika kama iko tayari inaweza kuunganishwa na hiyo nyingine. Nina maswali ambayo wanaojua wanaweza kunisaidia. Swali langu la kwanza kama sikosei kuna chama au advocacy group kilichoundwa kwa mujibu wa sheria chenye lengo la...
  7. D

    Unga Unga wapelekwa kwa mkemia mkuu

    Leo nilikuwa najiuliza lile sakata la kunyunyuzia unga mweupe bungeni lilikwishaje? Kuna mtu anakumbuka au lilikufa kimya kimya?
  8. D

    Azam na 'football optimists' wetu.

    Kaka hapo nilipoandika ni wapi nimelazimisha usimba na uyanga? Mimi nimetoa mawazo yangu na wewe toa yako badala ya kunilisha maneno
  9. D

    Azam na 'football optimists' wetu.

    Lazima tukubali bila yanga na simba kwa sasa mpira wa bongo utakuwa utachusha sana kinachotakiwa ni watu ambao mnajua mnaweza kubadili uendeshwaji wa hizo timu muingie ndani na kuomba uongozi na mlete mabadiriko mnayoyataka lakini sio kuzivunja hizo timu, bila hizo timu mbili hapa nchini hata...
  10. D

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    Hivi kama inadaiwa hiyo video imepikwa kwa kuwekewa maneno si jerked original video watu wachambue wajue pumba na mchele
  11. D

    Kamugisha Kazaura is a new TTCL CEO

    Watu hivi kula kiongozi wa nchi hii ni fisadi?
  12. D

    Kamugisha Kazaura is a new TTCL CEO

    Diehard mtu unaangalia vipi na baba yake kuwa CEO wa shirika la umma?
  13. D

    Wazili makame mbarawa umewasaliti wana ttcl

    Juzi nimeona Mheshimiwa waziri akipokea msaada wa computer na dola elfu kumi kutoka Huawei, sasa kweli jamani hawa jamaa wa kichina wakitaka kazi hapo TTCL uongozi wa TTCL utaweza kweli kuwakatalia kitu hawa jamaa wakati waziri amefadhiliwa kwenye jimbo lake huko Pemba? Kwenye nchi zingine hili...
  14. D

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Inapatikana hapa pia BONGO RADIO Media Player
Back
Top Bottom