Kamugisha Kazaura is a new TTCL CEO

Kamugisha Kazaura is a new TTCL CEO

kazaura.jpg

Kamugisha Kazaura received the B.Eng. degree in Electronics and Communications Engineering from the University of Bath, UK, in 1995. He then worked as a telecoms engineer for the Tanzania Telecommunications Company Ltd. (TTCL), Dar Es Salaam, Tanzania, from 1996 to 2002. He later joined Waseda University’s Graduate School of Global Information and Telecommunication Studies, Tokyo, Japan, where he received his M.Sc and PhD degrees in 2002 and 2007 respectively. He is now a full-time Visiting Lecturer at Waseda University’s Advanced Research Institute for Science and Engineering (RISE). His research interests lie within the general fields of technologies for fixed and mobile high-speed wireless communication networks, free-space optical (FSO) communication systems and innovative access technologies for next generation networks. His current work involves research and development of an advanced DWDM Radio on Free-Space Optical Communication system suitable for transmission of multiple RF signals.

Congratulations Kyoma
 
All the Best Kamugisha,just work hard we need our TTCL back show the way
 
kielimu,kiupeo na kiutendaji anastahili kuwa full CEO na sio kukaimu
 
Kukulia kwenye ufisadi, kusomeshwaa kifisadi, na kisha kurithishwa ufisadi kuna raha yake!

Utabakia kulalamika ivyoivyo jamaa anastaili nafasi iyo mpe muda
 
Niliambiwa kuhusu kuandsaliwa kwa huyu mtu miaka miwili iliyopita, moja ya watu waliokuwa wanapush ni baba yake. Hongera zake na tunamtakia kila la kheri katika kupambana na changamoto hizo za biashara ya simu

Diehard mtu unaangalia vipi na baba yake kuwa CEO wa shirika la umma?
 
Kwa kuanzia...atangakazii zoote upya tena azipeleke Delloite au PWC wale ndio wachuje nafasi zooote meneja kwenda juu....atengeneze skeleton mpya kabisa!wazeee wale wachawi wote awalipe wakacheze na wajukuu zao!utaona baada 3yrs
 
Anunue masssuuuti nane ya Guuuchiii hebu kwanza na Viatu ppeeeeaaa Tisaaa jamaaani muongeezee mikandaaa ya kyuumaa kyummaaa na mashaaati yaa chuuui chuuuiii...au basi mpeni ddduuuka llloooteee...a ha ha ha hawa watani zangu shida sana
 
Hongera Dr Kazaura! Nakutakia kila la kheri katika juhudi za kulifufua shirika hili nyeti na muhimu katika Taifa letu.

Kamugisha kazaura...aka MUGI...hongera kaka, wewe pamoja na Peter Ulanga(CEO-Mfuko wa Mawasiliano) mnawakilisha "timu ile" ya KIBAHA SECONDARY SCHOOL

Mwl. Kazibure(RIP) na Mkuu wa Shule Mwampaja hakika walifanya sehemu yao...

na SISI TUNAKUJA MUGI...hakuna wa kutuzuia......go Kibaha...go...
 
Kamugisha, hongera sana Kaka, nakuombea kila laheri ili uweze kuleta mabadiliko chanya kwenye hii kampuni maana mmh! Kizungumkuti at its best!
 
Kamugisha, hongera sana Kaka, nakuombea kila laheri ili uweze kuleta mabadiliko chanya kwenye hii kampuni maana mmh! Kizungumkuti at its best!

...Wote tunaoitakia Mema TTCL tumuombee Hivyo lakini ni Ngumu Sana.
Anaweza Kuishia kwenye Vicious Circle ya 'Busines as Usual' tu.
Amefungwa Mikono.
Hawezi kuvunja Mkataba wa Ovyo wa TTCL na Celtel/Zain/Airtel Unaoivunja mbavu TTCL wa kutumia Minara na Mitambo ya TTCL bila Kuilipia.
Hawezi kuisambaza itakiwavyo Huduma rahisi ya Simu za Mkononi ya TTCL 073 ambayo ingeweza kuwapiga bao hawa Wahuni wote lakini kwa Vile Wazito wetu wengi wana Hisa kwenye Makampuni haya basi TTCL inabanwa Mbavu ili isisambaze sawa sawa tekinolojia yake ya simu ya Huaiwei kwa visingizio hivi na Vile.
Kuna Mdai amechangia vyema hapo juu. Aitishe ajira mpya na kuzipa kampuni za akina Deloitte kupata wafanyakazi wa aina yake wanaoweza kuipeleka Kampuni yetu ya Taifa.
Kuna Vijeba ndani ya TTCL ambavyo havibali mabadiliko.
Ninawafahamu watu wawili watatu ambao wameishia Darasa la Saba na Form 4 (potelea mbali kwamba ni ya zamani!) lakini Meza wanazokalia, utazimia mwenyewe.
Ni hawa hawa ambao mteja Mzungu akiingia hawajua waongee nini naye na wanawasukumizia wenzao kwa sababu Lugha haipandi!

Kuna Mengi yanayoweza kumkwamisha Msomi huyu lakini kwa leo niishie hapa na kuwapa nafasi wengine Kuchangia...


 
Tatizo lililopo TTCL ni zaidi ya uongozi kwa kuwa ni kampuni ya serikali unahitajika utashi wa kisiasa na wapenda nchi wapewe nafasi katika kuainisha matatizo yanayokwamisha mambo. Kwani kuna hujuma za wazi zinafanyika na hakuna jitihada zozote za maana zinazofanyika kunusuru hali hiyo.
 
Wadau wengine wanadai...amekaa ki academic zaidi...si kiutendaji..sasa mimi siko huko tumpe muda kwa elimu yake na upeo wake lazima atakuwa na mapya...kusaidia kwa mustakbali wa ttcl na nchi yetu kwa ujumla!piga kazi Kamu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom