Hii Nchi ni shamba la bibi. Kabla ya kumpongeza huyo CEO tujiulize kachukua hatua gani dhidi ya mwizi wa pale moroko? Kama kakiuka mkataba atuambie hatua gani zilichukuliwa kabla ya kukimbilia kutafuta mwekezaji mwingine
Mkuu, serikali kama mmiliki wa TTCL ndiye aliyeuza hisa kwa huyo 'mwizi wa pale moroko'. CEO wa TTCL hapo anahusikaje?
Pili, hapa hakuna mwekezaji mwingine, kuna contractor kwa ujenzi wa miundombinu bro..