Azam na 'football optimists' wetu.

Azam na 'football optimists' wetu.

Napata hisia kuwa historia ya Azam inaweza kuishia kuwa tofauti na historia za Lipuli,Tukuyu Star,Mseto,Pamba,Mwadui,Reli,Balimi,Kariakoo Lindi,CDA,Mji mpwapwa,Nyota Korogwe na timu nyingine zilizowahi kutikisa anga ya mpira Tanzania. Kwa nini nasema hivyo? Jibu ni rahisi INFRASTRUCTURE ( miundo mbinu). Tofauti na vilabu vyote nilivyovitaja Azam wamewekeza kwenye miundo mbinu. Kumbuka wamiliki wa Bakhresa group they are shrewd business people,hawafanyi mambo ya kubahatisha na hawana historia ya kuchezea hela. They know what they are doing,usije shangaa siku moja wakauza mchezaji kwa dola milioni moja. Na kusema kweli this is the new African trend anatokea tajiri,anamiliki timu,anawekeza,timu inawika Africa na anaanza kuvuna hela.....mifano hai ni Libolo ya Angola na Tp Mazembe ya DRC. Enzi za community based teams kushamiri zinaanza kupotea,hata Kenya AFC Leopards wameunda study group ya kuangalia uwezekano wa kuuza hisa za club. Stay tuned mtaniambia.
Bravo Azam,kazeni buti,your future is bright.
Mkuu umeeleweka, lakini hebu tujiulize Mtibwa Sugar ilianzaje na sasa ipo vipi? Nasikia timu hii ina kirusi kimoja wapo kati ya hivo viwili. Kumbuka vilevile timu za mashirika zilivoleta ushindani mkubwa kwa Simba na Yanga lakini virusi vilipenya na matokeo yake tunayafahamu. Mmiliki wa Azam FC aliishakuwa kiongozi Simba lakini alivoona mambo hayaendi kama anavotaka akaanzisha timu hii, rais Kikwete kamuasa mno kuwa aachane nao ili timu yake iwe bora. Umetaja Libolo ya Angola, TP Mazembe ya DRC na AFC Leopards ya Kenya, mkuu hebu tujuze vyama/mashirika yao ya soka ya taifa kama yana aina ya virusi vyetu vilevile?
 
Napenda kuwataadharisha viongozi wa Azam FC kuwa wasione wanashangiliwa mno hivi sasa wakajisahau, kumbukeni nchi hii ina virusi viwili katika soka letu navo ni Simba na Yanga. Virusi hivi vimeenea mpaka serikalini sembuse TFF! Nakumbuka nchi yetu ikipata uhuru palikuwa na timu maarufu ya Cosmopolitans, timu hiyo nadhani imekufa na vikaja vilabu mbadala kama Pamba SC ya Mwanza, Mseto SC ya Morogoro (hivi havikuhusiana ya U-simba/yanga) lakini vipo wapi baada ya kuingiliwa na virusi hivo?
Mkae mkifikiria kuwa mafanikio yenu hafapendwi na Simba wala Yanga na hawa jamaa huungana mara waonapo pana tishio la uhai wao.

ni ngumu sana kuongelea mpira bongo bila kuongelea simba na yanga!kwani ndio waasisi wa mpira tanzania!ndio waliosambaza upendo kwa watu kuhusu mpira tanzania na timu zote zilizokuja kuundwa baada ya hizi timu kipindi hicho zilifuata organization structure za timu hizi.ukiangalia mifano ya cosmo,majimaji,tukuyu nk

na miaka ya 80 kama sikosei zilibuka timu zilizokua zinamilikiwa na mashirika ya umma mfano pilsner,bandari nk ambazo nazo hazikuweza kufanikiwa sana, sababu kubwa mpira kipindi hicho ulikua ni wa ridhaa, kwaiyo hata uendeshaji wake ulikua umebase zaidi kwenye cost kama kaproject fulani hivi na sio business oriented, na ndio mana mashirika mengi ya umma yalivunja timu ama timu kukosa malezi mazuri pale mashirika yao yalipotaka kupunguza cost, kwani kwao ilikua ni expenses tu

ni miaka ya karibuni tu ndio wamiliki wa timu binafsi wamejitokeza wakianza na akina kajumulo,moro utd sasa hivi azam na wanaonekana kutia moyo kwani inaonyesha development of foootball kwa kuwa na timu za aina tofauti za uongozi yani public teams(simba,yanga nk)corporate teams kama mtibwa,kagera sugar na sasa sole propietor teams kama azam

lakini je tuwaachie tu wamiliki wa timu binafsi watawale katika soka letu la bongo?na timu ambazo zilikua zamani zipo na organization structure,ownership style zao tuziue?

kuungana kwa simba na yanga ni historical thing na sio virusi! huwez epuka,na wataendelea kuzihujumu timu zozote zitakazokuja, inachotakiwa azam wajipange tu na wajue nafasi yao kwenye soka la bongo, la sivyo wakijihusisha na hizi timu zitakufa kama zilivyokufa zingine
 
well said man hata sasa ni kwamba azam tunafanya yetu na hata kama kuna watu wanaleta hizo washaanza kuona noma kwani utatolewa fasta na kuotezwa sasa hivi tunaangalia gemu za kimataifa zaidi..

Forza Azam FC
 
Mwananthropolojia, tunajiendekeza mno kwa kukumbatia virusi hivi na soka letu halitoendelea kamwe.
 
yaani huwa nikiskia yanga na simba huwa napata nakereka na kupatakichefuchefu.
haya matimu ni kama Cartel za mafians zilitokea huko New york na Sicilia..
enzi ya kina Mayer Lansky na the Gambinos..same story kila siku.
humo ndani ya bacteriophages za hawa viruses simba na yanga kuna wanasiasa,wafanyabishara uchwara na wahuni tuu.
they're just camouflages.watu huko wana mambo yao..cha kufanya haya matimu ni kuyaua kama ilivokuwa kenya..
they killed timu za makabila..kina Gor Mahia,afc leopards,f**k the hell out..
mimi azam sihifahamu kiivo,ila nawatakia kila lakheri,,just abide by the book..run all the shit proffessional wise..may we may get our Real Madrid or Barcelona or Mazembe one day..very soon.
but lets kill haya madudu ya simba na yanga,tangu babu yangu anaishi dar mwaka 1958 anayashabikia hadi leo mi mjukuu wake..looh!!hatuna hata haya
 
Naona kila mmoja anajifanya kuipaka azam mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa kwa kujifanya kuzikandia hizi timu kila mtu mjuaji na kutafuta sifa za kijinga...YANGA itaendelea kuwa yanga na SIMBA itaendelea kuwa simba hata iweje yupo wapi MANCITY na pesa sake na usajili wake wa kufa m2..mdau mmoja alisema ukistajabia ya AZAM utayaona ya MANCITY mtachonga sana ila mtatulia baadae
yote kwa yote yanga\simba ni kama mavi tu
 
Mwananthropolojia, tunajiendekeza mno kwa kukumbatia virusi hivi na soka letu halitoendelea kamwe.

suluhisho sio kuziua simba na yanga, tutakua tunapotea sana tukifanya hicho kitu ni kuzirestructure ziendeshwe katika wakati uliopo wa kisasa
 
yaani huwa nikiskia yanga na simba huwa napata nakereka na kupatakichefuchefu.
haya matimu ni kama Cartel za mafians zilitokea huko New york na Sicilia..
enzi ya kina Mayer Lansky na the Gambinos..same story kila siku.
humo ndani ya bacteriophages za hawa viruses simba na yanga kuna wanasiasa,wafanyabishara uchwara na wahuni tuu.
they're just camouflages.watu huko wana mambo yao..cha kufanya haya matimu ni kuyaua kama ilivokuwa kenya..
they killed timu za makabila..kina Gor Mahia,afc leopards,f**k the hell out..
mimi azam sihifahamu kiivo,ila nawatakia kila lakheri,,just abide by the book..run all the shit proffessional wise..may we may get our Real Madrid or Barcelona or Mazembe one day..very soon.
but lets kill haya madudu ya simba na yanga,tangu babu yangu anaishi dar mwaka 1958 anayashabikia hadi leo mi mjukuu wake..looh!!hatuna hata haya

kwaiyo umeona tuige mfano wa wakenya!hao wakenya wapo wapi sasa hivi katika medani ya soka baada ya kuziua hizo timu? sanasana tumeona mpira wa kenya ukishuka au kuporomoka hata cecafa kwa vilabu au chalenji sasahivi hawawez kuchukua ukiacha kwenda kwenye AFCON au worldcup

KUZIUA HIZI TIMU ITAKUA JANGA LA TAIFA KWENYE SOKA
 
yaani huwa nikiskia yanga na simba huwa napata nakereka na kupatakichefuchefu.
haya matimu ni kama Cartel za mafians zilitokea huko New york na Sicilia..
enzi ya kina Mayer Lansky na the Gambinos..same story kila siku.
humo ndani ya bacteriophages za hawa viruses simba na yanga kuna wanasiasa,wafanyabishara uchwara na wahuni tuu.
they're just camouflages.watu huko wana mambo yao..cha kufanya haya matimu ni kuyaua kama ilivokuwa kenya..
they killed timu za makabila..kina Gor Mahia,afc leopards,f**k the hell out..
mimi azam sihifahamu kiivo,ila nawatakia kila lakheri,,just abide by the book..run all the shit proffessional wise..may we may get our Real Madrid or Barcelona or Mazembe one day..very soon.
but lets kill haya madudu ya simba na yanga,tangu babu yangu anaishi dar mwaka 1958 anayashabikia hadi leo mi mjukuu wake..looh!!hatuna hata haya

wewe unaona mwaka 58 mbali?hizo barcelona,madrid,manchester,arsenal,juventus unajua zimeanzishwa mwaka gani na mashabiki wake wana miaka mingi wakizishabikia kutoka babu,baba,mtoto mpaka vitukuu?

msitake kuua soka la bongo simba na yanga is there to stay
 
yaani huwa nikiskia yanga na simba huwa napata nakereka na kupatakichefuchefu.
haya matimu ni kama Cartel za mafians zilitokea huko New york na Sicilia..
enzi ya kina Mayer Lansky na the Gambinos..same story kila siku.
humo ndani ya bacteriophages za hawa viruses simba na yanga kuna wanasiasa,wafanyabishara uchwara na wahuni tuu.
they're just camouflages.watu huko wana mambo yao..cha kufanya haya matimu ni kuyaua kama ilivokuwa kenya..
they killed timu za makabila..kina Gor Mahia,afc leopards,f**k the hell out..
mimi azam sihifahamu kiivo,ila nawatakia kila lakheri,,just abide by the book..run all the shit proffessional wise..may we may get our Real Madrid or Barcelona or Mazembe one day..very soon.
but lets kill haya madudu ya simba na yanga,tangu babu yangu anaishi dar mwaka 1958 anayashabikia hadi leo mi mjukuu wake..looh!!hatuna hata haya

well said dude..
 
Lazima tukubali bila yanga na simba kwa sasa mpira wa bongo utakuwa utachusha sana kinachotakiwa ni watu ambao mnajua mnaweza kubadili uendeshwaji wa hizo timu muingie ndani na kuomba uongozi na mlete mabadiriko mnayoyataka lakini sio kuzivunja hizo timu, bila hizo timu mbili hapa nchini hata hiyo azam haitakuwa hiyo ilivyo. Barcelona ni timu ambayo inaendeshwa na wanachama kama yanga na simba kwa nini wao wanafanikiwa ? Kwa sababu wao wANASEMA mfumo wanaofuata kiongozi huwezi kujiamulia tu unachotaka. Nina imani hata yanga na simba wanaweza kama watatokea viongozi wenye nia na dhamira ya dhati ya kuleta maendeleo
 
Kukereka na kupata kichefuchefu hizo ni dalili za wachawazito kuwa makin ndugu watu mtaendelea kupiga kelele kwa sana tu but they will continue to be the giants na kubeba ndoo msahau
 
Napenda kuwataadharisha viongozi wa Azam FC kuwa wasione wanashangiliwa mno hivi sasa wakajisahau, kumbukeni nchi hii ina virusi viwili katika soka letu navo ni Simba na Yanga. Virusi hivi vimeenea mpaka serikalini sembuse TFF!

Nakumbuka nchi yetu ikipata uhuru palikuwa na timu maarufu ya Cosmopolitans, timu hiyo nadhani imekufa na vikaja vilabu mbadala kama Pamba SC ya Mwanza, Mseto SC ya Morogoro (hivi havikuhusiana ya U-simba/yanga) lakini vipo wapi baada ya kuingiliwa na virusi hivo?

Mkae mkifikiria kuwa mafanikio yenu hafapendwi na Simba wala Yanga na hawa jamaa huungana mara waonapo pana tishio la uhai wao.
Tatizo kubwa ni kwamba hata hao viongozi/wapenzi na mashabiki wa Azam ni wafuasi wa hao unaowaita virus (Simba na Yanga) na hilo halina ubishi
 
Kwa wakereketwa wa soka hapa nchini inatulazim tuwakumbushe viongozi hao wa Azam FC kama rais Kikwete alivowapasha hivi majuzi. Kwa taarifa mie nilikuwa na mahusiano ya karibu na marehem Seleman 'mabehewa' (kiongozi mwanzilishi wake) na linikuwa nikimtaadharisha mara kwa mara kutoruhusu virusi hivo klabuni kwao.
 
Lazima tukubali bila yanga na simba kwa sasa mpira wa bongo utakuwa utachusha sana kinachotakiwa ni watu ambao mnajua mnaweza kubadili uendeshwaji wa hizo timu muingie ndani na kuomba uongozi na mlete mabadiriko mnayoyataka lakini sio kuzivunja hizo timu, bila hizo timu mbili hapa nchini hata hiyo azam haitakuwa hiyo ilivyo. Barcelona ni timu ambayo inaendeshwa na wanachama kama yanga na simba kwa nini wao wanafanikiwa ? Kwa sababu wao wANASEMA mfumo wanaofuata kiongozi huwezi kujiamulia tu unachotaka. Nina imani hata yanga na simba wanaweza kama watatokea viongozi wenye nia na dhamira ya dhati ya kuleta maendeleo
Mkuu usilazimishe U-simba/yanga, hayo ni mawazo ngando tuu. Soka letu linaweza endelezwa bila virusi hivo. Tatizo litakalo wakumba Azam FC ni kutumiwa viongozi wa serikali/TFF kuihujumu timu hii, kama huamini tusubiri tutaona.
 
Kaka hapo nilipoandika ni wapi nimelazimisha usimba na uyanga? Mimi nimetoa mawazo yangu na wewe toa yako badala ya kunilisha maneno
 
Back
Top Bottom