Recent content by Daniel poul

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

    Umetisha
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba

    Jamani biashara matangazo tuma picha zinazoeleweka zakuvutia
  3. D

    JamiiForums Tanzania Polisi waua raia

    sijui tunakwenda wapi majuzi basi limegonga bodaboda bila kujua mwenye kosa ni nani huko singida wanachi wakaamua kuchoma basi moto....sasa hili nalo sahihi mambo mengine tujiangalieni jamani
  4. D

    JamiiForums Tanzania Polisi waua raia

    Swala ni kwa nn kujichukulia sheria mkononi
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupi muhimu - Mtoto wa Kike au wa Kiume as first born?

    mtt ni mtt tu awe KE AU Me ni zawadi kutoka kwa Mungu
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume naomba mnisaidie kujibu hili swali

    wanasetiri kajaa hako ni hatari kana sumu kari sana kanavimbisha tumbo la wadada
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuanzisha biashara

    Nimegundua Jf msaada ukiomba wakufanya biashara unaweza ukakata tamaa mpaka ukaamua pesa yako ukaitie kiberiti tu ...embu nenda vijiweni kwa wajasiliamali wadogo wadogo usikie ushauri wao humu ndani utapagawishwa tu؟
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aliye tayari kunioa

    uhakika si mpaka akuone kwanza na mjuane na mfaamiane....ila ww unaonekana unataka ndoa na sio mchumba kila laheri
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumlea mtoto wa mme

  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada - Gari yangu inakula sana mafuta

    Ulitaka ile maji????
  11. D

    JamiiForums Tanzania Muungano mpya wa Wagombea Urais CCM: Nini hatma ya CCM 2015?

    hao wote wanaokwenda kanisani na misikitini kwa kufanya siasa wameshapoteza muelekeo kabisa tanzania yetu hatutaki udini wala ukabila hapa,!wasituletee fujo kwa maslahi yao binafsi.
  12. D

    JamiiForums Tanzania IGP MWEMA: Natangaza dau la Tsh 50 milioni kuhusu bomu la Arusha.

    ila upelelezi unaweza hata kukamata watu zaidi ya mia ukiendelea kuwahoji na hiyo itasaidia kuengua wasiohusika ila kusaidia polisi kwa upelelezi na kuwa na uhakika na wanachokifanya.
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hata uwe na mwanamke mzuri kama malaika, nje lazima utoke.

    ivi kutoka nje ya ndoa kwani kunategemeana na uzuri au ubaya wa mkeo????jibu ndio au hapana
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimelala na msichana mwenye mapepo

    umalaya wako utakuja nyonywa damu wewe
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mbona baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana?

    inasikitisha kwa kweli ila mungu yu pamoja nae wanaokudhalau leo ipo siku watakusalimu kwa heshima.
Back
Top Bottom