Na wiki iliyopita siku ya Ijumaa kama sijakosea sana, alikuwa anaunga mkono hoja ya Mh. Mbatia bungeni kuwa serikali inapaswa kuimarisha masomo ya shule ya msingi kwa kuyapunguza na kubaki na 3K yaani: Kusoma, Kuandika na Kuhesabu. Mh. Mulugo akasema wao wizarani wamelijadili hilo na wamekuja 3R...
Hii kali, lakini ndivyo ilivyo kwani angalia kama umeoa na mke wako anafanya kazi, umewahi sikia kuwa mwezi huu mwanamke atatoa angalau chakula tu. Hata kama anamshahara na anausafiri wa kwenda kazi mume ndio atamjazia mafuta katika gari hilo.
Nimekuwa nafuatilia jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa inavyozidi kushika kasi, ikipelekea ule wigo wa kuomba michango kupanuka kiasi kwamba sasa hata mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba mchango.
Aidha michango na sherehe hizi zimekuwa mzigo mkubwa sana kwa...
Wa ndugu habari za Alasiri,
Ninauza kiwanja, kipo maeneo ya Pugu Mwakanga kuelekea CHANIKA. Kimepimwa na kina letter of offer na ukubwa wake ni 971sqm. Bei ni 5.7 M tu. Kipo sehemu nzuri kabisa iliyotambarare.Upande mmoja kinapakana na Barabara ya mtaa.
Mawasiliano kwa njia ya simu...
Hilo lazima liwe pepo la ngono linalotolewa. Hata lugha inayotumika hapo ni ile kunena kwa lugha ambayo wahusika hapo hawaielewi. Hah haaaaaaaah haaaah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.