Huyu bosi vp

Kaka yangu wala usijaribu kulala naye, kwanza heshima ya kazi itashuka pili atakuwa anawafanyia vituko wasichan ambao uko nao karibu akifikiri mna uhusiano mwisho wa siku kazi zitakuwa hazifanyiki na wote mtaonekana watoto mmeshindwa kucontrol hisia zenu ofisini

Kwahiyo unataka kumwambia aachane naye??sindiyo??hivi wewe ukiwa unatembea ukaokota pochi ina mihera unapeleka kanisani??au msikitini??au unaenda njia nzima ukitangaza pochi lina pesa la nani??Kwa ushauri wangu kamua mzigo ila kama nimke wa mtu achana naye!!Au piga mara moja tambaa!
 
Ndio aachane naye atamletea matatizo. Kosa si kufanya kosa bali kurudia kosa, alikosea alipombusu mara ya kwanza so asirudie kosa.
Nikiokota pesa nitaangalia ziko kwenye mazingira gani kwanza kabla ya kuziokota zisije kuwa za moto
 
I hope mnaendelea vizuri wana JF

Mwenzenu nafikiria niondokaje leo hapa ofisini..jana jioni wakati natoka bosi wangu aliniomba lifti na alipoingia akaniambia leo lazima nikamuoneshe nyumbani kwangu, ofcz alikua anaongea kama ni utani flani nami nikajua ndio ivo
kumbe bana alimaanisha, mama wa watu akakomaa kwenye gari mpaka mitaa ya home mitaa ya kunduchi hiyo ni kama mida ya saa moja na nusu, tunafika getini kabla sijapiga horn eti anadai anataka kushuka, nilipomuuliza mbona unataka kushuka huku nje akajibu yeye alikuja kwa ajili ya kitu kimoja tu...eti nimpe kiss
tukazinguana pale lakini kwa sababu ilikua maeneo ya home ikabidi mzee nimpe hiyo kiss ili aondoke zake, akataka tena nikala mara ya pili nikatulia then akaniambia anataka kuondoka bahati nzuri nina namba ya jamaa wa bajaji nikampigia akaja kumchukua!

sasa leo hapa ndio nafikiria how should i go..kuna kila dalili kuibukiwa tena!

Aisee!@#$%????
hapo kwenye redi inaonyesha shuguli ilikuwa pevu sana, kiasi mpaka ukatulia, afu UKALA mara ya pili,!!! ukamaliza afu akakuaga ukamuitia BAJAJI.... hahah haa em ueleze uma, ulitumia masaa mangap?

Kwa ushauri wangu, jitaidi kutorudiana nae tena, dhambi ya uzinzi ni mbaya kuisahau ni kazi sana na kadiri unavyo muona ona mara kwa mara unaeza muomba tena.
Kafanyiwe maombi kituo cha karibu
 
nawashukuru wanajamii..naomba mnivumilie kidogo then nitalianika movie linavyoendelea! we have a lot in this world du!
 
I hope mnaendelea vizuri wana JF

Mwenzenu nafikiria niondokaje leo hapa ofisini..jana jioni wakati natoka bosi wangu aliniomba lifti na alipoingia akaniambia leo lazima nikamuoneshe nyumbani kwangu, ofcz alikua anaongea kama ni utani flani nami nikajua ndio ivo
kumbe bana alimaanisha, mama wa watu akakomaa kwenye gari mpaka mitaa ya home mitaa ya kunduchi hiyo ni kama mida ya saa moja na nusu, tunafika getini kabla sijapiga horn eti anadai anataka kushuka, nilipomuuliza mbona unataka kushuka huku nje akajibu yeye alikuja kwa ajili ya kitu kimoja tu...eti nimpe kiss
tukazinguana pale lakini kwa sababu ilikua maeneo ya home ikabidi mzee nimpe hiyo kiss ili aondoke zake, akataka tena nikala mara ya pili nikatulia then akaniambia anataka kuondoka bahati nzuri nina namba ya jamaa wa bajaji nikampigia akaja kumchukua!

sasa leo hapa ndio nafikiria how should i go..kuna kila dalili kuibukiwa tena!

Makofi kwa mtoto mwenzenu.
Hadithi hii kakufundisha nani? Inatufundisha nini?
 
mabosi wengine bwana adabu hawana kabisa. achana nae heshima ya kazi kutakuwa hakuna tena.
 
I hope mnaendelea vizuri wana JF

Mwenzenu nafikiria niondokaje leo hapa ofisini..jana jioni wakati natoka bosi wangu aliniomba lifti na alipoingia akaniambia leo lazima nikamuoneshe nyumbani kwangu, ofcz alikua anaongea kama ni utani flani nami nikajua ndio ivo
kumbe bana alimaanisha, mama wa watu akakomaa kwenye gari mpaka mitaa ya home mitaa ya kunduchi hiyo ni kama mida ya saa moja na nusu, tunafika getini kabla sijapiga horn eti anadai anataka kushuka, nilipomuuliza mbona unataka kushuka huku nje akajibu yeye alikuja kwa ajili ya kitu kimoja tu...eti nimpe kiss
tukazinguana pale lakini kwa sababu ilikua maeneo ya home ikabidi mzee nimpe hiyo kiss ili aondoke zake, akataka tena nikala mara ya pili nikatulia then akaniambia anataka kuondoka bahati nzuri nina namba ya jamaa wa bajaji nikampigia akaja kumchukua!

sasa leo hapa ndio nafikiria how should i go..kuna kila dalili kuibukiwa tena!

Ukitaka kula nguruwe chagua aliyenono, na heri shari kamili kuliko nusu shari na bora lawama kuliko fedheha....Hakikisha unamla tigo huyo mama!!
 
ukila boss wako, marafiki wa kike kukutembelea ofsini mwiko! pia kashapajua nyumbani unakazi nae mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom