Natafuta tender ya jiko kwenye Bar/Grocery/Restaurant


Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
2,214
Likes
104
Points
160
Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
2,214 104 160
Natafuta tenda ya jiko
kwenye bar/grocery/restaurant ya
kuandaa vyakula kuanzia
supu, vyakula vya mchana na
uchomaji wa nyama, mkataba ni maelewano kuendana na sehemu yenyewe ilipo na flow ya wateja mahali ni popote jijini dar es salaam,
jamani kwa mwenye jiko na
anatafuta mtu ani PM.
NB: Nina uzoefu mkubwa sana kwenye sekta hii.
 
pmoses95

pmoses95

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
2,999
Likes
1,016
Points
280
pmoses95

pmoses95

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
2,999 1,016 280
nime ku pm namba yangu lipo tabata segerea
 
D

Dandaj

Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
73
Likes
0
Points
0
D

Dandaj

Member
Joined Apr 16, 2009
73 0 0
Fanya mawasiliano na mwenye namba hii 0715994725 ana sehemu nzuri ya biashara hiyo.
 
Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
2,214
Likes
104
Points
160
Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
2,214 104 160
Fanya mawasiliano na mwenye namba hii 0715994725 ana sehemu nzuri ya biashara hiyo.
Akhsante Dandaj nitawasiliana naye. . .
 
Last edited by a moderator:
L

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Messages
717
Likes
79
Points
45
L

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined May 15, 2013
717 79 45
Kitimoto unajua kupika vizuri?
 

Forum statistics

Threads 1,273,820
Members 490,485
Posts 30,493,029