Here it is, click the attachment.
Mkuu naomba nitafutie: CARRIAGE OF GOODS BY SEA CAP 164.
Kwanini unatanguliza shukrani hasa kwa mwanakijiji?Wanajamii.
naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia Tanzania law of Contract Kwenye PDF aniwekee hapa.
Natanguliza shukurani hasa kwa Mwanakijiji
Mimi nilivyomwelewa ni kuwa wengine tusimwekee hiyo kitu mpaka mwanakijiji atakapo shindwa kufanya hivyo.Kwanini unatanguliza shukrani hasa kwa mwanakijiji?
Mimi nilivyomwelewa ni kuwa wengine tusimwekee hiyo kitu mpaka mwanakijiji atakapo shindwa kufanya hivyo.
Kwanini unatanguliza shukrani hasa kwa mwanakijiji?