Huyu Dada anastahili pongezi kwa kweli...Tazama.

Huyu Dada anastahili pongezi kwa kweli...Tazama.

Yap - talented young girl - hakuna wa kumuonyesha njia!
 
Bongo hii au?! Shes good...
 
Wow she is really good, kwa nini wadhamini wa timu ya mpira ya wanawake wasimsaidie?
 
mlugulu huyo kutoka mpro ananikumbusha enzi za reli ya morogoro!
 
mbona mi sion picha au ni li PC langu, au net yetu kimeo, mmh ngoja ni refresh
 
Nami nadhani hili li mashine langu bovu, sioni picha ati:help:
 
huyo ni noma,kam Okocha vileee!!!!!!
 
Naona watu wanaimagine picha kisha wanatoa comment, sioni kitu kabisaaaaa!!!
 
..aende Twiga stars kuendeleza kipaji huyo dada, namkubali kiaina.
 
Naona watu wanaimagine picha kisha wanatoa comment, sioni kitu kabisaaaaa!!!

Mkuu, inawezekana unasoma JF kwa kutumia mobile. Picha iliyowekwa ni video iliyo kwenye youtube, sasa kuna mobile nyingine huwa hazioneshi video za youtube. Haiwezekani watu wazima na akili zetu tuka-imagine picha na kutoa maoni ilihali picha hakuna wala hatuioni, no way! We are not that crazy meen! The video is there for everyone to watch
 
sure, huyo anaweza na hapo yupo kwenye sketi ndefu na malapa, angekuwa amevaa kaptula na raba angefanya vizuri zaidi. anahitaji kuendelezwa katika footbal.
 
Tatizo unaweza kuta nauli ya kufika town hana. Unafikiri Mrisho Mpoto alikosea. Mi najitolea kumpa nauli. AniPM nitaenda kumfata huko aliko!
 
Back
Top Bottom