Recent content by Dan84

  1. Dan84

    Uncle Ben akiwa Pugu Sekondari

    Mimi mwenyewe Pugu boy, hakuna sehemu kama hiyo Pugu, siyo kule Kanisani (Roma), wala karibu na Dining hall (uwanja wa Volley ball), hakuna dirisha duara zenye hizo structures.
  2. Dan84

    Kijana Ibrahim Maximillian anamtafuta baba yake kwenye picha hizi hapa

    Nimeongea na kijana, anafurahi amepata baadhi ya ndugu zake, ila ameambiwa Mzee wake alifariki yangu 2009. R.I.P Kwa mzazi wake.
  3. Dan84

    Gari: Suzuki Carry inauzwa

    Bei: 5,500,000 Ipo vizuri (kazini), simu : 0715859923, Vibali vyote vimelipiwa, Mileage : 146,616 km Engine capacity : 657 Number : T487 CTX Njoo na fundi wako.
  4. Dan84

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    :yawn::blah:
  5. Dan84

    Heka heka za usafi kuelekea sikukuu 09 Disemba

    Ama kwa hakika, ni hali ya kutia moyo na hali ya kizalendo inaonekana katika maeneo ya Kigamboni DSM kuhusiana na suala zima la usafi. Hapa maeneo yetu, toka jana ni ni mshike mshike, viongozi wa mitaa wanaishambulia mitaa kwa hamasa na kuhimiza usafi, hali ya moshi moshi utokanao na kuchoma...
  6. Dan84

    Gari rav 4 inauzwa

    mbona mi nikifungua kompyuta naziona picha nilizotupia! wenzangu hamuoni?
  7. Dan84

    Gari rav 4 inauzwa

    Number : T 157 CKF Mileage : 109600 cc Condition : Ipo vizuri sana (Very Good) Engine : 3S - FE 1998 Doors : 5 Location : Dar es Salaam Price : 12,000,000/= Contact : 0715 85 99 23
  8. Dan84

    Njiwa mlanya

    division 5!
  9. Dan84

    Hotel kubwa Morogoro kubomolewa

    hiyo avatar yako inaleta maswali tata!
  10. Dan84

    Ahadi za wagombea uraisi 2015

    Hashimu Rungwe:nitasambaza maji kwa kutumia ndege (helkopta) Lowasa:elimu bure hadi chuo kikuu Magufuli:elimu bure hadi kidato cha nne. Karibuni, tuendelee...
  11. Dan84

    Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

    Mkuu, utamu tunaupata, lakini cha...... Tunakiona! Tunapiga sana chabo kwenye hii post.
  12. Dan84

    Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

    Mhh? Episode 270! hapo unaweza kuta mhusika mkuu anazaliwa kunako episode ya 270,hawa akina Khatib ni chenga tupu. Bro umeniweza mida hii nikajua nikitoka bata batani,nitakuta umeshusha mzigo! Haya bwana tunasubiri!
  13. Dan84

    Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

    Huyu jamaa atasababisha,mi niiendeleze hii hadithi navyojua mimi.
  14. Dan84

    The Godfather

    Short minded! Division five! Soma na kutafakari uongeze maarifa.
  15. Dan84

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    JF ni kama daladala kila mtu anaingia, mwenye akili zake, mwenye akili za kumtosha mwenyewe, wakurupukaji, mpaka mapunguani wamo! usikubali furaha yako iharibiwe na asiyejua maana.
Back
Top Bottom