Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 15,526
- 27,561
Huo ni mtazomo wako mkuu, na ule ni mtazamo wangu.Rekebisha hapo. Sio kwamba walitukamata bali wametukamata hadi sasa hivi
Hakuna mbaya kila mtu akibaki na mtazamo wake, amani tu kiongozi.
Huo ni mtazomo wako mkuu, na ule ni mtazamo wangu.Rekebisha hapo. Sio kwamba walitukamata bali wametukamata hadi sasa hivi
HAKUNA SEHEMU KAMA HIYO PUGU SEKONDARI,LABDA KAMA WALIENDA KULE CHINI PONDI 🥴 🥴 🥴 🥴Hapa waliposimama ni pugu sehemu Gani mbona sijapasoma!
Huku kanisani Roma
Hapa waliposimama ni pugu sehemu Gani mbona sijapasoma!
HAKUNA SEHEMU KAMA HIYO PUGU SEKONDARI,LABDA KAMA WALIENDA KULE CHINI PONDI![]()
![]()
![]()
![]()
Nahis ni pale karibu na uwanja wa volleyball na dinning hole.. au huku upande wa kanisani
I dont think so.Dah no one knows his/her tomorrow only God knows
Na kama hataki basi awe anakaa kimya na si kuchagua wa kumjibu.Sio suala la mazoea,umeuliza swali nimekujibu!!
Humu hatupo kwa ajili ya kuzoeana,tupo kwa ajili ya kuanzisha mijadala na kuchangia hoja,suala la kuzoeana labda unalo wewe,Mimi sikujui hunijui sasa unaanzaje kuniambia hupendi mazoea na Mimi? Dada,bibi,baba,mama sijui mzee hebu jiangalie aisee!!
Ngoja na mimi nitunze haka kapicha kangu nilipokuwa Azania sekondari enzi hizo.
Hiyo njemba ndefu imevaa viatu vya kike.. ahahahaTumetoka mbali!View attachment 1260918
Sidhani Ndabo sikuwahi ona dirisha la duaraHapo siyo ndanda kweli?
Hiyo njemba ndefu imevaa viatu vya kike.. ahahaha
Zamani Mimi nshavaa Hadi blauzi.
Mimi mwenyewe Pugu boy, hakuna sehemu kama hiyo Pugu, siyo kule Kanisani (Roma), wala karibu na Dining hall (uwanja wa Volley ball), hakuna dirisha duara zenye hizo structures.Nahis ni pale karibu na uwanja wa volleyball na dinning hole.. au huku upande wa kanisani