The Godfather

The Godfather

----,

kwa iyo ulitaka wezi watetewe, kisa tu ni watendaji wazuri??? poor mind
 
Wanasiasa ni watu wanafiki sana na ndio wanaosababisha nchi zetu za kiafrika zinaendelea kuwa masikini licha ya kuwa na rasilimali nyingi za kutosha.Wanasiasa wakati mwingine wanashindwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuangalia upepo wa kisiasa.Kujiuzulu kwa Prof. Muhongo kumedhihirisha jinsi gani baadhi ya wanasiasa wetu wasivyo na nia njema na nchi yetu.Tumepoteza mtendaji anaejiamini sana, mtendaji ambaye alikuwa anakijua anachokifanya, Mtu ambae naamini kupitia kwake nadhani mafuta na gesi yangetunufaisha zaidi.Namuona Prof. Muhongo anaenda kutumiwa na nchi zingine licha ya kwamba alikuwa na uzalendo.

Unaweza kujiuliza kwa nini Jiji la Dar es salaambado lina shida kubwa ya maji wakati sehemu kubwa ya Temeke ina maji mengi yaliyo aridhini, tatizo ni wanasiasa kutowaruhusu wataalamu kufanya kazi kwa masilahi yao binafsi.Mikataba mingi ya madini Tanzania iliyosainiwa hapo kabla haitunufaishi, Hebu jiulize leo kapatikana mtaalaam wa kutunufaisha kwa kuziba mianya ya wazawa feki basi anaonekana hafai.

Jiulize: Huyo mzawa Mengi ulishawahi kusikia akitoa misaada sumbawanga, kigoma, lindi, makete, etc. Yeye anatoa misaada kwa wachaga wenzake.

Mzawa mwingine Bakhresa ulishawahi kusikia akitoa misaada kwa wakiristo zaidi mara nyingi ni kwa waislamu, tena na ajira anatoa kwa upendeleo kwa waislamu wenzake, ukiwa mkiristo kama unataka kazi nzuri basi ukubali kuslimu.Hii ni mifano ya baadhi ya wazawa ambao unadhani watatunufaisha kumbe watajinufaisha wenyewe na kikundi kidogo tu.

muhongo kapotezwa na aliye mleta , wala usisingizie wana siasa wengine, yeye alipokea orders kutoka kwa aliyemleta bila kuja kwamba the guys was misleading him.
hiyo pesa ya kalasinga na Ruge kwani muhongo pamoja na usomi wake alikuwa haelewi Kama kuna pesa za umma humu?
he knew every thing lakin kwa kuwa alishahakikishiwa usalama wake kitendaji, pia alikuwa ashaingizwa kwenye public fund looting cartel .
so we can say they used him and dumped him
 
Call him godfather or mother the true has been reveal and the ccm party has come to the end, they will soon be a opposition party in this country you will see it. The only one big problem that facing CCM followers, they never accept the true.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Mkuu wabungenjaa, nahisi nimekuelewa! kama THE GODFATHER ana nguvu za kuwavuruga hata CCM na sasa anawa-support wapinzani, kweli wa-Tanzania matumaini yetu tumtumaini nani? Kama hata hao wapinzani wakiingia madarakani GODFATHER atakuwa ashawaweka mifukoni mwake wakiwa hawafurukuti wala kupumua?! Tufanye nini sasa sisi wa-Tanzania wa kawaida tunaokaa huku Mwabusalu?
 
Last edited by a moderator:
This thread, I HUMBLY GIVE IT A THUMB UP...!!!

 Mengi wasipomdhibiti ATAIHARIBU CCM sana..!!!

☝ I swear to GOD....akija RAIS mwenye ujasiri kidogo tu atleast NUSU YA UJASIRI WA EL....Mengi atajutia...!!!

 CCM lazima iwe makini sana na watu wa aina hii with unknown identity within a party, yuko CCM kwa ID tu, but kimatendo na media zake zote ZINAIUA CCM....huu ni UHAINI..!!

✂ CCM najua this time hawana la kumfanya...but NGOJA AJE LAIGWANAN....u will see MOTO...hakuna uselessness...!!!
Khaa!! Kwani Laigwanan na yeye ni Godfather?? Nauliza tu:wacko:
 
Eti tunataka mabadiliko, kijinga hivi kweli? Nchi za wengine Hawa na akina Mengi walikuwa ni wa kula risasi tu ili nchi isonge mbele.

Kwani Mengi kajificha? Kama unaofikiri wanapaswa kuutoa uhai wa Mengi wamelala si ukawasaidie?!
 
Ndiyo maana nimesema ningekuwa na uwezo, sasa sina uwezo huo, nchi haiwezi kuburuzwa na wapuuzi wachache kama MENGI. yeye mwenyewe katajirika kwa kukwepa kodi.
 
Mleta mada nia ni mpuuzi tu.......! Yaani ww kama waziri au mwanasiasa ukifanya mambo hovyo...vyombo vya habari visihoji au kuandika habari zako...? Halafu huu mtindo wa wanasiasa kujifanya wanapambana na wafanyabiashara wazawa ni unafiki mtupu.....! Kauli za kipumbavu pumbavu zikikujaa mdomoni.....ndivyo na moyoni na fikra zako zinaonekana za kipumbavu..........you can be sincere and still be stupid...!
 
Eti tunataka mabadiliko, kijinga hivi kweli? Nchi za wengine Hawa na akina Mengi walikuwa ni wa kula risasi tu ili nchi isonge mbele.

HEbu fafanua wewe THATHA uhusika wa Mengi Reginald katika wizi wa Dola Milioni 120 za ESCROW mpaka Prof Muhongo na Wengineo kutimuliwa kazi...ili nikuunge mkono katika hoja ya Chuki dhidi ya yake na kujustify kuwa ni kweli GODFATHER wa Bongo.
 
  • Thanks
Reactions: 999
tatizo wapo wanaojifanya wanauchungu na nchi yetu kwa maslahi yao binafsi na wawekezaji toka nje. ipo siku wataumbuka japo watanzania tutakuwa tayali tumeshalizwa.
 
Wanasiasa ni watu wanafiki sana na ndio wanaosababisha nchi zetu za kiafrika zinaendelea kuwa masikini licha ya kuwa na rasilimali nyingi za kutosha.Wanasiasa wakati mwingine wanashindwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuangalia upepo wa kisiasa.Kujiuzulu kwa Prof. Muhongo kumedhihirisha jinsi gani baadhi ya wanasiasa wetu wasivyo na nia njema na nchi yetu.Tumepoteza mtendaji anaejiamini sana, mtendaji ambaye alikuwa anakijua anachokifanya, Mtu ambae naamini kupitia kwake nadhani mafuta na gesi yangetunufaisha zaidi.Namuona Prof. Muhongo anaenda kutumiwa na nchi zingine licha ya kwamba alikuwa na uzalendo.

Unaweza kujiuliza kwa nini Jiji la Dar es salaambado lina shida kubwa ya maji wakati sehemu kubwa ya Temeke ina maji mengi yaliyo aridhini, tatizo ni wanasiasa kutowaruhusu wataalamu kufanya kazi kwa masilahi yao binafsi.Mikataba mingi ya madini Tanzania iliyosainiwa hapo kabla haitunufaishi, Hebu jiulize leo kapatikana mtaalaam wa kutunufaisha kwa kuziba mianya ya wazawa feki basi anaonekana hafai.

Jiulize: Huyo mzawa Mengi ulishawahi kusikia akitoa misaada sumbawanga, kigoma, lindi, makete, etc. Yeye anatoa misaada kwa wachaga wenzake.

Mzawa mwingine Bakhresa ulishawahi kusikia akitoa misaada kwa wakiristo zaidi mara nyingi ni kwa waislamu, tena na ajira anatoa kwa upendeleo kwa waislamu wenzake, ukiwa mkiristo kama unataka kazi nzuri basi ukubali kuslimu.Hii ni mifano ya baadhi ya wazawa ambao unadhani watatunufaisha kumbe watajinufaisha wenyewe na kikundi kidogo tu.

mkuu nikusahihishe, tatizo la Muhongo sio Mengi, tatizo la muhongo ni uwendawazimu wa kisomi, akjiamini yeye ni mtaalamu na msomi kuliko wengine...na nitakupa facts juu ya fikra zake kupotoka...

1. Hakuna nchi yeyote inayoendelea au itakayoendelea kwa kutumia umeme wa gas, geothermal au diesel/HFO;
why? Generation cost kwa hiyo mitambo semwa hapo juu ni ghali sana, initial investment ni ndogo sawa, but kurun, maintaining na operational cost ni ghali mnooo, pia durability ni ndogo...i tell u umeme tanzania ungefika tsh 500 per unit very soon.
2. nchi zote dunian ambazo zipo serious na power, back borne yao ya grid is either Hydro au Nuclear...lakini nyingi ni hydro, na hiyo ndio njia rahisi sana ya kutengeneza umeme, na ndio njia nzuri ya kukupa umeme rahisi, initial investment ni kubwa lakin operational ni ndogo sana...maintenance pia ni ndogo...u can even run a plant which is automatic by only 4 people.
vyanzo vya maji tunavyo tele tena na feasibility study zilishafanyika some areas we can generate up to 4000 MW.
sasa swali kwako, Muhongo tangu aingie madarakan uliwah msikia akiongelea Hydro powers? (forget about sijui mambo ya kina cha maji kimepungua maana ile ilikuwaga ni upigaji ili IPTL auze umeme tanesco)

narudia kilichomponza Muhongo zaidi ni kiburi chake cha kisomi...kujiona yeye ni kila kitu, lakini sie tunaojua mambo ya umeme we tell u it was about time tu kwa bomu haswaa la matatizo ya umeme na bei juu ya umeme kulipuka...
yeye kama alikuwa anajua mambo ya miamba na madini its fine, umeme angeomba tu ushauri...na sio kutuletea umeme ghali zaidi...
 
Hao wote waliongukia pua walahumu their peanut size brains. Kilichowaponza ni kuzusha mambo ya uongo na wakakuta Mengi ni kidume. Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wa ccm Dar Es Salaam alimtuhumu Mengi sio mwana ccm wakati Mengi ana kadi ya ccm tena imetolewa kwenye moja ya tawi la mkoa anaosimamia, Dar.
 
Wanasiasa ni watu wanafiki sana na ndio wanaosababisha nchi zetu za kiafrika zinaendelea kuwa masikini licha ya kuwa na rasilimali nyingi za kutosha.Wanasiasa wakati mwingine wanashindwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuangalia upepo wa kisiasa.Kujiuzulu kwa Prof. Muhongo kumedhihirisha jinsi gani baadhi ya wanasiasa wetu wasivyo na nia njema na nchi yetu.Tumepoteza mtendaji anaejiamini sana, mtendaji ambaye alikuwa anakijua anachokifanya, Mtu ambae naamini kupitia kwake nadhani mafuta na gesi yangetunufaisha zaidi.Namuona Prof. Muhongo anaenda kutumiwa na nchi zingine licha ya kwamba alikuwa na uzalendo.

Unaweza kujiuliza kwa nini Jiji la Dar es salaambado lina shida kubwa ya maji wakati sehemu kubwa ya Temeke ina maji mengi yaliyo aridhini, tatizo ni wanasiasa kutowaruhusu wataalamu kufanya kazi kwa masilahi yao binafsi.Mikataba mingi ya madini Tanzania iliyosainiwa hapo kabla haitunufaishi, Hebu jiulize leo kapatikana mtaalaam wa kutunufaisha kwa kuziba mianya ya wazawa feki basi anaonekana hafai.

Jiulize: Huyo mzawa Mengi ulishawahi kusikia akitoa misaada sumbawanga, kigoma, lindi, makete, etc. Yeye anatoa misaada kwa wachaga wenzake.

Mzawa mwingine Bakhresa ulishawahi kusikia akitoa misaada kwa wakiristo zaidi mara nyingi ni kwa waislamu, tena na ajira anatoa kwa upendeleo kwa waislamu wenzake, ukiwa mkiristo kama unataka kazi nzuri basi ukubali kuslimu.Hii ni mifano ya baadhi ya wazawa ambao unadhani watatunufaisha kumbe watajinufaisha wenyewe na kikundi kidogo tu.

Kigezo cha ajira ni elimu na uaminifu
Ukikosa uaminifu hupati kazi.
Kuna wazungu pale azam
Kuna financial advisor wadosi hindus pale tena anawasikilza sana.
Mnataka kazi mkaukate mchume haraka mshazoea escrow wote watoto wa kondoo
 
Eti tunataka mabadiliko, kijinga hivi kweli? Nchi za wengine Hawa na akina Mengi walikuwa ni wa kula risasi tu ili nchi isonge mbele.

Ale risasi kwa sababu gani?
Kwa nini msiende mahakamani kama kauli mbiu yenu inavyosema?
 
Mkuu, unauliza tena? Nani mwenye vyombo vya habari nchini vinavyodeal na Serikali,nani akipenda Muhongo afukuzwe uwaziri leo na anafukuzwa? Haya mambo hayakuaza leo na hayakuanzia Tanzania, watu walishafanya tafiti zao siku nyingi.

Kadi anayo.
 
Back
Top Bottom