Recent content by Dan Geoff P

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada Kujiondoa Deshmax

    Ila wewe naye kwanini uanze kutafuta kupata messages za mtu mwingine bila yeye kujua, unafahamu kuwa ni kosa kisheria lakini pia ni tabia mbaya? Imagine wewe ujue kuna mtu anapaya sms zako bila wewe kujua utajisikiaje? Nway malipo ni hapa hapa duniani, umeshalipwa tayari nakupa pole ila naamini...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ndugu yangu ananipigia simu kila mara ila sipendi, sema nashindwa kumwambia

    Ipo siku utakosa wa kukupigia napo utalalamika. Ndugu yako anaonyesha upendo muheshimu ila mzuie asiendelee kukuambia mambo ya kimbeya. Ujue hata wewe kuna mtu unamkera ila anashindwa kukuambia hivyo hivyo kama ambavyo wewe unashindwa kumwambia huyo ndugu yako. Hivyo mvumilie kama ambavyo na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Email za Yahoo zinasumbua leo

    Kama mada inavyojieleza hapo, kwa wae ambao bado ni watumiaji wa barua pepe za Yahoo naona leo mtandao huo umegoma kabisa kufunguka...nimeona hili tatizo kwa watu kama wanne hapa ofisini. Wajuzi wa haya mambo tufahamisheni wapi kuna tatizo
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hawa Nitarejea wa Diamond yupo hoi kitandani, anaomba msaada wa kusaidiwa

    Kama binadamu wengine wakiwa kwenye shida tunaweza kumchangia/kuchangiwa....ila tujiulize Kuna watu wangapi wenye shida Kama yake wapo hospitali na hakuna mtu wa kuwasemea. Besides Hawa wasanii na watu mashuhuri wanapopata shida wanakuwa wa kwanza kuja mitandaoni kuomba msaada wa matibabu lakini...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nyimbo 20 bora za Mwana Falsafa za muda wote

    Jukumu letu ya ukweli sana
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nimemwacha kwangu toka asubuhi, kila kitu kiko ndani, nimerudi muda huu yaani hajapika anangalia maisha magic bongo!

    [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] imebidi tu nicheke
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nimemwacha kwangu toka asubuhi, kila kitu kiko ndani, nimerudi muda huu yaani hajapika anangalia maisha magic bongo!

    [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] imebidi tu nicheke
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo sitotumia tena neno "mkuu" kwani hilo ni jina aitwalo Lucifer na wale wanaomwabudu

    Kwahiyo Mwingine akikuambia huwa wanamuita baba napo utaacha kulitumia hilo jina. Acha kudanganyika Wewe ...akili za kuambiwa....
  9. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu vifaa vya ujenzi Uza/nunua

    Wadau naomba kujua jina la hii material inayoonekana kwenye Ukuta. Is it decor plus au ina jina jingine na bei zake zinaendaje??
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi limepita Bukoba leo tarehe 30 Aprili, 2017

    Tetemeko lililopita usiku halikuwa kubwa sana na halikuacha any physical damage but only psychological damage.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi limepita Bukoba leo tarehe 30 Aprili, 2017

    Nimegundua mosquito net inaweza kukukinga na mbu lakini pia ikakuchelewesha kukimbia kipindi cha hatari kama hii
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi tena Kagera

    Habari ya muda huu na usiku huu mnene. Bukoba tena. Tetemeko lililodumu kwa takribani dakika moja na nusu limepita muda huu mjini bukoba. Baadhi ya wananchi ambao bado tunakumbuka ya tarehe 10/09/2016 tumejikuta tukikimbia nje na watoto wetu. Sasa nimeanza kuamini bukoba sio salama sana kwa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi limepita Bukoba leo tarehe 30 Aprili, 2017

    Habari ya muda huu na usiku huu mnene, Bukoba tena. Tetemeko lililodumu kwa takribani dakika moja na nusu limepita muda huu mjini Bukoba. Baadhi ya wananchi ambao bado tunakumbuka ya tarehe 10/09/2016 tumejikuta tukikimbia nje na watoto wetu. Sasa nimeanza kuamini Bukoba sio salama sana kwa...
Back
Top Bottom