Msaada Kujiondoa Deshmax

NGERESHAA

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,237
1,669
Wapedwa Kuna mtu aliniunga na huduma ya kupata sms za mtu bila yeye kujua mwisho wa siku ikauganishwa na A/c yangu ya Tigo pesa ndani ya wiki mbili washakomba elfu 60,000.
Na huduma au sms za niliyetaka kumchunguza sipati

Naomba mwenye kujua namana ya kujiondoa aua ta nikamilishe huduma yaani nipate nilichokuwa nahitaji
 
Itakuwa amekuunganisha na Tigo mastercard
Angalia km amekutengenezea Mastercard na amekuunganisha na huduma hiyo.
Wanakuwa wanakata hela moja kwa moja kwenye account yako ya Tigo pesa
 
Hatua ya kwanza, Ondoa pesa zote tigo pesa.
Futa hiyo Mastercard mchezo kwisha.
then sajili tena itakuja na details zingine mpya kila kitu, so zile za kwanza zitakua zimepotea watakosa pa kukata hela.
 
Ila wewe naye kwanini uanze kutafuta kupata messages za mtu mwingine bila yeye kujua, unafahamu kuwa ni kosa kisheria lakini pia ni tabia mbaya? Imagine wewe ujue kuna mtu anapaya sms zako bila wewe kujua utajisikiaje? Nway malipo ni hapa hapa duniani, umeshalipwa tayari nakupa pole ila naamini ukienda ofisi za tigo hawashindwi kukusaidia
 
Back
Top Bottom