Tetemeko la Ardhi tena Kagera

Tetemeko la Ardhi tena Kagera

Status
Not open for further replies.
9d0e9d2c4c1ceffc9246433e31127216.jpg
 
Sichangi tena sizonje na mwanae mpendwa watazibugia kama ile michango ya mwanzoni
 
Jamani, mbona hatusikii habari zaidi juu ya hilo tetemeko huko kagera?
 
Habari ya muda huu na usiku huu mnene. Bukoba tena. Tetemeko lililodumu kwa takribani dakika moja na nusu limepita muda huu mjini bukoba. Baadhi ya wananchi ambao bado tunakumbuka ya tarehe 10/09/2016 tumejikuta tukikimbia nje na watoto wetu. Sasa nimeanza kuamini bukoba sio salama sana kwa matetemeko.
 
Poleni ila tulieni jamani msipanic usiku huu

Angalieni usalama wa Watoto kwanza na wazee
 
Habari ya muda huu na usiku huu mnene. Bukoba tena. Tetemeko lililodumu kwa takribani dakika moja na nusu limepita muda huu mjini bukoba. Baadhi ya wananchi ambao bado tunakumbuka ya tarehe 10/09/2016 tumejikuta tukikimbia nje na watoto wetu. Sasa nimeanza kuamini bukoba sio salama sana kwa matetemeko.
hatari msaada kwa TMA
 
Poleni sana na Mungu awanusuru
Vipi hali halisi na usalama kwa ujumla kwa muda huu usalama wa watu na mali zenu upo vipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom