Nimemwacha kwangu toka asubuhi, kila kitu kiko ndani, nimerudi muda huu yaani hajapika anangalia maisha magic bongo!

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,959
Aisee kuna mijanamke kwel sjui ikoje, yaani nimeamka asubuh nimeenda job nimeliacha limelala linajitanua tuu kwenye 6×6 yangu,

Kila kitu kiko ndani,friji imejaa nyama, kila kitu, mchele uko ndan, unga, mayai,etc
Kiiiila kitu...

Yaan naingia tuu moja kwa moja jikoni,***** hakuna kitu, namuuuliza eti sijapika, kaona nimetoka nje, eti naomba niletee mishkaki,..

Kiukwel now nina njaa ya ajab, nakula dodo hapa na matango yalikua kwenye friji...huyu demu ni bure kabsa, halafu ni new project...

Alafu limekaa hapa linakula mishkaki huku linanihadithia hiyo muvi ya Gabo linaangalia maisha magic bongo.
 
Badala ya kufanya kile unachostahili kama Mwanaume break yako ya kwanza JF kuja kulalama!!!! Hongera sana Mkuu.

Aisee kuna mijanamke kwel sjui ikoje,yaan nmeamka asubuh nmeenda job nmeliacha limelala linajitanua tuu kwenye 6×6 yangu,
Kila kitu kiko ndan,frij imejaa nyama ,kila kitu,mchele uko ndan,unga ,mayai,etc
Kiiiila kitu...yaan naingia tuu mojakwamoja jikon,***** hakuna kitu,namuuuliza et sjapika,kaona nmetoka nje et naomba nletee mishkak,..kiukwel now nna njaa ya ajab,nakula dodo hapa na matango yalikua kwenye frij...huyu dem ni ku**ma kabsa,..af ni new project,..
Af limekaa hapa linakula mshkak huku linanihadithia hyo muv ya gabo linaangalia maisha magic bongo.
 
Tatizo ni wewe, sio huyo demu, taste yako ndio hiyo type.
 
Back
Top Bottom