Recent content by DAMAS DAMIAN

  1. D

    Nahisi kuna Mawaziri wanajisemea moyoni "Natamani nivuliwe Uwaziri hata sasa"

    Natamani hata asubuhi nikiamka nikutane na taarifa kwa vyombo vya habari, Natamani taarifa hiyo ihusu mabadiliko katika baraza la mawaziri, Natamani katika baraza jipya Mimi nisiwe mmoja wao tena, Nibaki na nafasi niliyopewa na wananchi wangu, Maana sina uwezo wa kuonyesha umahiri wangu...
  2. D

    Wapinzani wanachokifanya Kinairudisha Nyuma Tanzania: Acheni siasa za wakina Malcom X

    Hawaandamwi kwasababu labda wanaonewa, la hasha, matendo yao yanastahili zaidi ya kuandamwa la sivyo Taifa litaangamia.
  3. D

    Ofisi ya Waziri Mkuu kukuza ujuzi kwa vijana 27000 kwa mwaka wa fedha 2016/2017

    Anaandika Mheshimiwa Antony Mavunde Ufunguzi wa mafunzo ya Vijana juu ya stadi za kushona na kukata vitambaa kutumia teknolojia ya kisasa katika kiwanda cha Mazava Fabric Co.Ltd Morogoro leo ambapo takribani vijana 1000 watapatiwa mafunzo na kuajiriwa baadaye. Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana...
  4. D

    Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    World vision sio shirika la misaada mkuu, ni shirika linalolenga kuiwezesha jamii iweze kujisaidia yenyewe.
  5. D

    Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Falsafa ya ufadhili ya World vision ndivyo iko hivyo, fedha zinazopatikana kupitia watoto zinanufaisha jamii nzima akiwemo na mtoto pamoja na familia yake kupitia vitu kama shule, zahanati, maji na mambo mengine. Ni tofauti na mashirika mengine. So far shirika limefanya mambo makubwa mengi...
  6. D

    Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Nimefanya kazi katika shirika hili kwa muda wa miaka mitatu na nusu, naweza kukiri ya kwamba nimejifunza mengi sana na nimefaidika na mengi katika shirika hili. Sikuwahi kufikiria kwamba ipo siku moja ningekuja kuondoka World vision sababu nilipapenda sana. Lakini dakika za mwisho, nilihisi...
  7. D

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Fuata link hii ili uweze kufahamu kuhusu falsafa, dhana na umuhimu wa mbio za Mwenge wa Uhuru. THE GOVERNMENT OFFICIAL BLOG: MAKALA KUHUSU FALSAFA, DHANA NA UMUHIMU WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU.
  8. D

    Maisha yetu ni tofauti na maneno yetu, ndio maana hatueleweki

    Mara nyingi nimekuwa nikisia watu katika nyanja tofauti wakitoa maneno yanayoashiria kukata tamaa na kundi flani la watu, kwa kisingizio kwamba hawataki kubadilika, hawaelewi, hawana mwamko. Mara zote hizo ni upande mmoja tu ambao unapata lawama. Lakini, kuna shida kubwa ambayo tunajifanya kama...
  9. D

    Tahadhari kwa watumiaji wa bodaboda Dar

    Kuna kamata kamata inaendelea katika Jiji la Dar kwa kwa watumiaji wa boda boda ambao hawatumii Helment. Polisi kwasasa wanakamata dereva na abiria kama wakiwakuta mmepanda piki piki bila kuvaa Helment. Ukikamatwa kwa makosa mengine unaweza kutozwa faini barabarani lakini kwa hili la helmet...
  10. D

    Shindano la kimataifa kwa vijana wajasiriamali

    Andika la ubunifu wa mradi ambao unafaida kwa jamii, ambao unatekeleza moja wapo ya malengo 17 ya maendeleo endelevu duniani. Wazo lako litapigiwa kura na watu mbali mbali kwa njia ya mtandao na watu mbali mbali ambapo washindi watatangazwa katika kilele cha mkutano wa wajasiriamali...
  11. D

    Fursa ya mtaji kwa vijana wa Tanzania

    Sorry sio ILE ni ILO
  12. D

    Fursa ya mtaji kwa vijana wa Tanzania

    Baraza la uwezeshaji la taifa (NEEC) kwa kushirikiana na ILE wamezindua Ajira Yangu Business Plan Competition kwa Vijana wenye umri wa miaka 18-35. Maombi yanapokelewa kuanzia 18 April -09 Mei, 2016. Sambaza kwa Vijana. Kwa Maelezo zaidi tembelea AJIRA YANGU BUSINESS PLAN COMPETITION |...
  13. D

    Hiki ndio kitakachofuata baada ya marudio ya uchaguzi wa Zanzibar

    Unasema zanzibar haipo hivyo eee
  14. D

    Zamaradi Kawawa ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari - Maelezo

    Huyu dada yuko smart sana, anastahili kuvaa hivyo viatu
  15. D

    KANUSHO: Mwenyekiti wa CHADEMA, F. Mbowe kuchukua 'zabuni zote' Hai

    Asante kwa ufafanuzi makene, najua hao wanatafuta airtime
Back
Top Bottom