Shindano la kimataifa kwa vijana wajasiriamali

DAMAS DAMIAN

Senior Member
Apr 8, 2011
115
54
Andika la ubunifu wa mradi ambao unafaida kwa jamii, ambao unatekeleza moja wapo ya malengo 17 ya maendeleo endelevu duniani. Wazo lako litapigiwa kura na watu mbali mbali kwa njia ya mtandao na watu mbali mbali ambapo washindi watatangazwa katika kilele cha mkutano wa wajasiriamali utakaofanyika ujerumani mwezi october 2016 na watatambuliwa kimataifa kwa fursa mbali mbali.

Jinsi ya kushiriki, fuata link hiyo hapo chini.

Competition guidelines - Youth Citizen Entrepreneurship Competition
 
Back
Top Bottom