DAMAS DAMIAN
Senior Member
- Apr 8, 2011
- 115
- 54
Baraza la uwezeshaji la taifa (NEEC) kwa kushirikiana na ILE wamezindua Ajira Yangu Business Plan Competition kwa Vijana wenye umri wa miaka 18-35. Maombi yanapokelewa kuanzia 18 April -09 Mei, 2016. Sambaza kwa Vijana. Kwa Maelezo zaidi tembelea
AJIRA YANGU BUSINESS PLAN COMPETITION | National Economic Empowerment Council