Kaondoka Suarez, Sterling wamuache na huyu tu aondoke. ingawa ni mchezaji mzuri ila ndio mpira ulivyo kila mchezaji akifika level flani anataka new challenge.
hivi una uhakika gani huyo mwingine utakayempata utakuwa na hisia nae milele. angalia wapi palipo na mapungufu na mrekebishe kwa kushirikiana. Pia jitahidi kuongeza spices kwenye mapenzi yenu outing, shopping, kupika na kufanya usafi pamoja, utani wa hapa na pale.
Usisahau siku mojamoja kujitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.