Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,549
Tena wabaya mnoUmeshasaga vu.zi mwaka mzima ndio umemuona hafai...
Sisi wanaume watu wabaya sn




Unaweza ukaua kimya kimya Ujana haubagui.


Tena wabaya mnoUmeshasaga vu.zi mwaka mzima ndio umemuona hafai...
Sisi wanaume watu wabaya sn




Unaweza ukaua kimya kimya 



Chozi la huyo mwanamke halitakuacha salama milele na milele mpaka unakufa.
Tusione vichaa wengi barabarani, wengine mnajitakia
Ujana haubagui.![]()


Aidha bado wewe ni mvulana au hujielewi. Katika ndoa hakuna mapenzi bali mazoea na kuvumiliana. Lazima ujitahidi kulazimisha kumpenda la sivyo usioe uwe na gf miaka yote. Binadamu tumeumbwa kukinai ila ukiamua kuoa hakikisha kila wakati umuone ndiye mrembo kuliko mwanamke yeyote ulimwenguni. Vumilia usimuache wote wapo hivyoUnachokisema ni kweli. Shida inakuja family yake watanichukuliaje na barua nilishatoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chozi la huyo mwanamke halitakuacha salama milele na milele mpaka unakuta.
Tusione vichaa wengi barabarani, wengine mnajitakia
Ujana haubagui.![]()
Being honest is nice bro.i like no strings attached relationshipKama mwanamke simtaki huwa namwambia tu....bora uonekane mbaya kuliko kumpotezea muda mtu.
Huwa nkishakwambia ukweli nakata mawasiliano ili upate reality sio leo tunaachana kesho tunaanza kuchat sijui kupigiana cmu
Unadhani ni sahihi kuuumiza nafsi yangu for the rest of my life sababu tu tumezaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze namna ya kumpenda angalia mtoto eti rest of your life? Upo kweli kwenye akili yakoUnadhani ni sahihi kuuumiza nafsi yangu for the rest of my life sababu tu tumezaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhNdiyomaana siku hizi tunawaroga tu.
Mkuu we ni zaidi ya mse.ngerema .. mbinafsi unaangalia nyege zako kuliko hata hicho kiumbe ulicholeta duniani eti hisia mtoto wako upo radhi aishi maisha ya mzazi mmoja na Mungu naomba wanaume kama hawa wape wake wa kafanana nao wanyanyasaji wabinafsi .. na naenda kutoa sadaka kwa hili hutakaa upate amani

. Alichokitarajia kwenye ndoa mpya hakukipata. Akamkumbuka zilipendwa wake. Huyu mleta mada mwache aende akaoe upya, atakuja na mrejesho wa kuteseka ndoani. Machozi ya mwanamke hayajawahi kumuacha mwanaume salama.