1 church ndo kiasi gani hichoAisee ndio wale mligombaniana eh? Salary ya 1 church..
1 church ndo kiasi gani hicho
Hata mie nmeona jina la mtu nayemdai hapo,namuhesabia mwezi tu nianze kudai marejeshoDenis nimeona jina deni langu unilipe sasa
Amina...Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi katika majukumu yenu mapya.
Hata mie nmeona jina la mtu nayemdai hapo,namuhesabia mwezi tu nianze kudai marejesho