Recent content by Dahlia

  1. D

    Msaada Kuhusu Hati ya Kusafiria ya Mtoto

    Heshima yenu wakuu wa Jf Ninaomba msaada wa kufahamishwa. Je iwapo unataka kusafiri nje ya nchi na mtoto wako wa umri wa kati ya miaka miwili na kumi na mbili, utahitaji doumenti zipi ili aweze kuruhusiwa kusafiri? Je umri huu wanatakiwa kuwa na passport? Kama sivyo, je ni vielelezo vip...
  2. D

    Mjue mkuu wa upelelezi wa zamani(Patrick Karegeya) na nani nyuma ya kifo chake?

    Sure. Ni uvivu wa kusoma vitu mtandaoni. In fact de Levis ameripoti 'stori' kama ilivyoandikwa ktk The Citizens na hata gazeti la The Guardian la South Africa. Hakuna inteligence yoyote hapo!
  3. D

    CRDB Mikopo ya Nyumba usanii ????

    Customer care Bongo bado ni michosho tu. Ukifuatilia majibu aliyokuwa anatoa, ni kama vile amelazimishwa kufanya kazi, au hajui la kusema au sijui. Yaani ni kero. Na bahati mbaya hata ukiripoti kwa wakuu wao wa kazi, hakuna kinachofanyika. Matatizo mengine tumekuwa tunasingizia mara elimu, mara...
  4. D

    Kodi ya simu yapingwa rasmi mahakamani

    Yaani hata kama ni kilaza, umejitahid sana kueleza.Watu wengine huwa wanapost hapa jf just for the sake of posting. Suala la kuwa na line zaidi ya moja ni la kawaida sana kwa sasa. Kuuliza laini tatu ni za nini ni kuonesha ujinga wake tu. Ni bora ukae kimya kuliko kuongea ukajitangaza kuwa wewe...
  5. D

    Graduate walioomba Upolisi soma muhimu

    Graduate unaandika hivi?? Kwa uandishi huu ushafeli usaili.
  6. D

    Kama ni mpenzi wa muvi kitambo, unazikumbuka muvi hizi?

    Undefeatable, School Bus, Predator, Terminator, School Bus, Enter the Dragon, Colateral Damage,
  7. D

    Utendaji mbovu wa security JNIA

    Ukoo wa panya tu mpaka airport!
  8. D

    SA Latest Crime Statistics

    Wanajf, nimeshangazwa na taarifa zilizotolewa na bosi wa Jeshi la Polisi SA kuhusu takwimu za 'murder' . It is shocking especially considering that nchi ina watu mil 52. Kwa muhtasari tu: Katika miaka sita iliyopita, murder zilizotokea ni 16,259, wastani wa mauaji 45 kwa siku. Ripoti inasema...
  9. D

    Picha za hakimu aliyechomwa kisu mahakamani huko shinyanaga

    Duh! Hakimu kaponea chupuchupu kabisa. Nadhani jamaa alikusuduia kudedisha kabisa. Kisha mahakama zetu nyingi za mwanzo ni mapagala tu.
  10. D

    Chris Lukosi aelezea sababu zilizomfanya arudi CCM

    Yaani hii thread imenifanya nikawa nacheka mwenyewe. Imagine mtu uko peke yako unacheka, kisa? michango ya watu ktk thread hii ni zaidi ya comedy. Chris, you are a big hearted-person. I commend you for that. Yaani pamoja na madongo yote uliyopigwa, bado upo. Trust me, mtu mwingine ndo ungekuwa...
  11. D

    Utaratibu wa kuishi maisha ya jela...msaada tafadhali

    Lile jimama limeshindwa kukupasua?
  12. D

    Anataka vitu alivyonihonga nimrudishie eti.

    TUPIAMO FOTO YA HILO BAUNSA TUONE LILIVYO KABLA HALIJAKUPASUA. Vinginevyo tunakutakia kupasuliwa kwema kaka Marioooo
  13. D

    Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    Wandugu tusikimbilie kutengeneza dhana. Tusubiri watu wa inteligensia watoe majibu. Kisha kulihusianisha hili ni dini ni mapema mno. Jambo moja liko wazi lakini, Zanzibar is increasingly becoming unsafe hasa kutokana na matukio ya tindikali. Sidhani kama kuna uislamu unaofundisha ujinga kama...
  14. D

    SA: Polisi watega kukamata Wezi, kumbe wezi ni Polisi

    Stori yenyewe ni hii from yahoo.za Kimberley – Two police officers and two civilians were arrested while trying to break into a store in Jan Kempdorp in the Northern Cape on Monday night. Responding to information that a shop in the area was to be burgled, a team of police units set up an...
  15. D

    KIPANYA LEO: Sijamuelewa kabisa, mnaweza kunisaidia kuelewa?

    Kipanya anawakejeli ukoo wa Panya!
Back
Top Bottom