MJIMPYA
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 506
- 273
Wadau nimepokea taarifa Kuwa Umoja wa Chama cha Kampuni za simu (MOAT) sio kile cha baba Mengi. . . Leo wanaenda mahakama ya Kodi kuweka pingamizi kwa kila Mtanzania kukatwa shilingi 1000 kuanzia Mwezi Julai. Sasa niko njiani kwenda kuwaunga Mkono hawa jamaa...... Mimi nina Laini tatu inamaana nadaiwa elfu 9. Mungu anisaidie. Watanzania tunaumizwa si mchezo.
Misaada mnasema hamuitaki mnamtukana Rais eti ombaomba, kulipa kodi hamtaki, huduma za bule mnataka saaaaaaaaaaana!! hivi serikali mnataka ipate wapi kodi?
Naunga mkono hiyo kodi ianze mara moja ili wenzetu wa vijijini nao wapate umeme maana hii pesa yote inaenda REA kusambaza umeme vijijini.
Nyie wa mjini umeme mnaopata toka mtela, kidatu na kwingineko mjue kuna walipa kodi wenzetu walilipa kodi tukapata huu msaada na sisi tulipe vijijini wapate umeme.
Acheni mawazo ya kisiasa.