CRDB Mikopo ya Nyumba usanii ????

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,898
13,193
Kwa zaidi wiki sasa CRDB wamekuwa wakijitangaza kuwa wameanzisha programme ya mikopo hadi millioni 500 na payments ni hadi miaka 20.
Tatizo kubwa la mikopo ya benki zetu ni riba.
Katika kufuatilia nikapiga simu no 0755197700 kama ilivyoonyeshwa gazetini kwenye tangazo.
Siku ya kwanza simu hiyo haikupatikana kabisa!
Nilipopiga simu hiyo leo ikapatikana na baada ya muda mrefu dada mmoja akajibu.

Swali langu lilikuwa simple and straight.
Mikopo yenu ina riba kiasi gani?

Jibu la mkato lilotoka ni hili: Nenda kwenye benki yako na meneja atakujibu>
Nikamuuliza sasa nini maana ya kuweka simu kwenye tangazo? Maana tunataka majibu bila kusumbuka mafoleni!
Jibu: Inategemea mshahara wako!
Nikauliza tena: Mimi si mwajiriwa mi mfanya biashara na nataka mkopo lakini vizuri kujua riba!
Jibu:(baada ya kimya) kwani unataka mkopo kiasi gani?

Nami nikajibu: Milioni mia tano.
Bibie naye akajibu: Nenda kwenye tawi lako watakusaidia.

Nika endelea: Sasa mnaweka simu kwenye tangazo kwa nini wakati hamna majibu simple kama ya riba?
Jibu:..............(akakata simu)

Nikakaa chini na kufikiri, CRDB Benki inayosikiliza !
 
...nchi hii, we! thubutu! nani akupende kiasi hicho!! ndio maana wana jibu ovyo!!achana nao au km vp nenda tu kaonane na bank manager aliyeko karibu yako. Pole sana.
 
Kwa zaidi wiki sasa CRDB wamekuwa wakijitangaza kuwa wameanzisha programme ya mikopo hadi millioni 500 na payments ni hadi miaka 20.
Tatizo kubwa la mikopo ya benki zetu ni riba.
Katika kufuatilia nikapiga simu no 0755197700 kama ilivyoonyeshwa gazetini kwenye tangazo.
Siku ya kwanza simu hiyo haikupatikana kabisa!
Nilipopiga simu hiyo leo ikapatikana na baada ya muda mrefu dada mmoja akajibu.

Swali langu lilikuwa simple and straight.
Mikopo yenu ina riba kiasi gani?

Jibu la mkato lilotoka ni hili: Nenda kwenye benki yako na meneja atakujibu>
Nikamuuliza sasa nini maana ya kuweka simu kwenye tangazo? Maana tunataka majibu bila kusumbuka mafoleni!
Jibu: Inategemea mshahara wako!
Nikauliza tena: Mimi si mwajiriwa mi mfanya biashara na nataka mkopo lakini vizuri kujua riba!
Jibu:(baada ya kimya) kwani unataka mkopo kiasi gani?

Nami nikajibu: Milioni mia tano.
Bibie naye akajibu: Nenda kwenye tawi lako watakusaidia.

Nika endelea: Sasa mnaweka simu kwenye tangazo kwa nini wakati hamna majibu simple kama ya riba?
Jibu:..............(akakata simu)

Nikakaa chini na kufikiri, CRDB Benki inayosikiliza !

Wewe nawe ulitaka kukopa nyingi sana wakaogopa, Labda walitaka useme 3.5m
 
Hizo ni ajira za vitandani au vimemo.

hata wale wale huduma kwa wateja kwenye mitandao ya simu ni vihio wakutupwa na majibu yao huwa yanafanana ya "piga baada ya masaa 3". ukija piga unakutana na mwingine naye anakupa masaa mengine 3.
 
Masopakyindi,

Nadhani ni product mpya hawajajipanga kabisa hawa mabwana bado wana mbwelambwela.

Usanii.com
CRDB kwa kweli ni janga la mabenki!
Na nimejaribu kukopa hapo ni balaa, kila mfanyakazi anataka mlisho wake!!
 
Jijenge presentation pdf
 
Attachments

  • jijenge presentationmortgage finance.pdf
    831.6 KB · Views: 575
Kwa zaidi wiki sasa CRDB wamekuwa wakijitangaza kuwa wameanzisha programme ya mikopo hadi millioni 500 na payments ni hadi miaka 20.
Tatizo kubwa la mikopo ya benki zetu ni riba.
Katika kufuatilia nikapiga simu no 0755197700 kama ilivyoonyeshwa gazetini kwenye tangazo.
Siku ya kwanza simu hiyo haikupatikana kabisa!
Nilipopiga simu hiyo leo ikapatikana na baada ya muda mrefu dada mmoja akajibu.

Swali langu lilikuwa simple and straight.
Mikopo yenu ina riba kiasi gani?

Jibu la mkato lilotoka ni hili: Nenda kwenye benki yako na meneja atakujibu>
Nikamuuliza sasa nini maana ya kuweka simu kwenye tangazo? Maana tunataka majibu bila kusumbuka mafoleni!
Jibu: Inategemea mshahara wako!
Nikauliza tena: Mimi si mwajiriwa mi mfanya biashara na nataka mkopo lakini vizuri kujua riba!
Jibu:(baada ya kimya) kwani unataka mkopo kiasi gani?

Nami nikajibu: Milioni mia tano.
Bibie naye akajibu: Nenda kwenye tawi lako watakusaidia.

Nika endelea: Sasa mnaweka simu kwenye tangazo kwa nini wakati hamna majibu simple kama ya riba?
Jibu:..............(akakata simu)

Nikakaa chini na kufikiri, CRDB Benki inayosikiliza !

Mkuu hata hiyo kidogo si umesikilizwa tu?
Kusikilizwa na kujibiwa ni issue tofauti,

CRDB, Benki inayosikiliza (Ingawa haisaidii)!
 
Customer care Bongo bado ni michosho tu. Ukifuatilia majibu aliyokuwa anatoa, ni kama vile amelazimishwa kufanya kazi, au hajui la kusema au sijui. Yaani ni kero. Na bahati mbaya hata ukiripoti kwa wakuu wao wa kazi, hakuna kinachofanyika. Matatizo mengine tumekuwa tunasingizia mara elimu, mara ukoloni, lakini kwa hili, I am afraid tutaendelea kupiga maki taimu tu.
 
Jijenge presentation pdf

4.0 Malengo na sifa za mikopo
[FONT=Tahoma,Tahoma][FONT=Tahoma,Tahoma]inaendelea… [/FONT][/FONT]
[FONT=Tahoma,Tahoma][FONT=Tahoma,Tahoma]
[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Tahoma,Tahoma][FONT=Tahoma,Tahoma][/FONT][/FONT][FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Muda wa marejesho ya mkopo
[/FONT]
[/FONT]

[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Hadi miaka shirini (20)
[/FONT]
[/FONT]

[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Dhamana
[/FONT]
[/FONT]

[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Nyumba iliyonunuliwa, kukarabatiwa au kujengwa kwa asilimia 80% .
[/FONT]
[/FONT]

[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Riba ya mkopo
[/FONT]
[/FONT]

[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Asilimia 18% kwa mwaka na asilimia 1% kwa mwaka kama bima ya mkopo
[/FONT]
[/FONT]

[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Ulipaji wa mikopo
[/FONT]
[/FONT]

[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Ulipaji wa mikopo ya nyumba utafanyika kama ifuatavyo;

[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri](i)Makato ya mshahara kila mwezi toka kwenye akaunti ya mkopaji.

[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri](ii)Malipo ya mkupuo (Balloon Payment) – Hii inakubaliwa pale ambapo kuna ushahidi wa kutosha kuhusiana na kipato kinachotarajiwa.

[/FONT]
[/FONT]

Asante kwa information mkuu, ingalau nimepata jibu nililokuwa naulizia.
Kilio cha watanzania na hasa wajasiria mali ni hapo kwenye RED.

Kwa long term loan hii riba NI KUBWA MNO.

Na ndio maana wawekezaji wa ndani wanaiogopa mikopo ya mabenki yetu.
Kwa mfano 18% interest maana yake mimi ninayetaka kukopa milioni 500, nitatakiwa nilipe 5X18 million (milioni 90) kila mwaka kama riba TU, na hapo bado deni la Principal la milioni 500.
Kama hilo deni hukulilipa ndani ya miaka mitatu basi sahau hata biashara yenyewe( yaani compounded interest ya 90 million per year -ndani ya miaka 3, utalipa zaidi ya milioni 200 kama riba, deni la 500 mil liko pale pale)

Hizi capital projects lazima ziwe na riba si zaidi ya 4% na ujenzi wa miradi utofautishwe na commercial loans.
Nawasilisha.
 
4.0 Malengo na sifa za mikopo
inaendelea…

Muda wa marejesho ya mkopo
Hadi miaka shirini (20)
Dhamana
Nyumba iliyonunuliwa, kukarabatiwa au kujengwa kwa asilimia 80% .
Riba ya mkopo
Asilimia 18% kwa mwaka na asilimia 1% kwa mwaka kama bima ya mkopo
Ulipaji wa mikopo
Ulipaji wa mikopo ya nyumba utafanyika kama ifuatavyo;

(i)Makato ya mshahara kila mwezi toka kwenye akaunti ya mkopaji.

(ii)Malipo ya mkupuo (Balloon Payment) – Hii inakubaliwa pale ambapo kuna ushahidi wa kutosha kuhusiana na kipato kinachotarajiwa.

Asante kwa information mkuu, ingalau nimepata jibu nililokuwa naulizia.
Kilio cha watanzania na hasa wajasiria mali ni hapo kwenye RED.

Kwa long term loan hii riba NI KUBWA MNO.

Na ndio maana wawekezaji wa ndani wanaiogopa mikopo ya mabenki yetu.
Kwa mfano 18% interest maana yake mimi ninayetaka kukopa milioni 500, nitatakiwa nilipe 5X18 million (milioni 90) kila mwaka kama riba TU, na hapo bado deni la Principal la milioni 500.
Kama hilo deni hukulilipa ndani ya miaka mitatu basi sahau hata biashara yenyewe( yaani compounded interest ya 90 million per year -ndani ya miaka 3, utalipa zaidi ya milioni 200 kama riba, deni la 500 mil liko pale pale)

Hizi capital projects lazima ziwe na riba si zaidi ya 4% na ujenzi wa miradi utofautishwe na commercial loans.
Nawasilisha.

kama utakopa ths 500,000,000/= kwa miaka mitatu ambayo ni sawa ni 36months, utatakiwa ulipe ths 18328008.69 kwa mwezi kwa miaka mitatu itakuwa 659808300.96, if i'm not wrong somewhere.
 
Mkuu hebu tuhabarishe sasa hapo riba ni kiasi gani?
Maana katika mkopo wa miliono 500, roba na gharsma zikawa 159million bado mkopo ni wa gharsma kubwa.
Halafu unaanza kulips ommediatrly au kina grace period?

Lakini la msingi mabenki yetu mikopo yake haimkomboi Mtanzania.
 
Mabenki mengi kama sio yote bado hayapo serious, majuzi nami nilikua na shida fulani na benki yangu. Nilipigwa dana dana mara mpigie huyu mara yule, mpaka mwishoe nikaambiwa niende kwene tawi langu. Na kichekesho zaidi wateja tupo sijui tupo wangapi lakini line ni moja! na unaweza kuambiwa weekend hawafanyi kazi. Sasa u can imagine kama unatatizo la dharura ujue imekula kwako.
 
Customer care Bongo bado ni michosho tu. Ukifuatilia majibu aliyokuwa anatoa, ni kama vile amelazimishwa kufanya kazi, au hajui la kusema au sijui. Yaani ni kero. Na bahati mbaya hata ukiripoti kwa wakuu wao wa kazi, hakuna kinachofanyika. Matatizo mengine tumekuwa tunasingizia mara elimu, mara ukoloni, lakini kwa hili, I am afraid tutaendelea kupiga maki taimu tu.

Wageni wakitoa customer service nzuri na kuchukua kazi bongo tunalalamika
 
Mkuu hebu tuhabarishe sasa hapo riba ni kiasi gani?
Maana katika mkopo wa miliono 500, roba na gharsma zikawa 159million bado mkopo ni wa gharsma kubwa.
Halafu unaanza kulips ommediatrly au kina grace period?

Lakini la msingi mabenki yetu mikopo yake haimkomboi Mtanzania.

riba ni kwa 18% na 1 ya insurance, sijafahamu bado kama ni immediately au till grace period ndugu.
 
all in all, bank ipi sasa kuna uafadhali wa -riba- na -muda-kupata mkopo pasipo urasimu katika kuupata?
 
Back
Top Bottom