Anataka vitu alivyonihonga nimrudishie eti.

Anataka vitu alivyonihonga nimrudishie eti.

Wadau....nilikua na sugar mamy moja ivi mitaa ya tandika. Kusema ukweli likikua likinifadhili mambo mengi. Lakin kutokana na tabia yake ya mawivu ya kijinga na kujifanya kunibana...kila time niwe nalo..kiukweli nilishindwa kuvumilia. Hasa makelele yake...kila siku kesi..na ugomvi usioisha. Ikabidi nilikimbie na kuja huku Mtwara. Ndiko nnakofanyia kazi kwasasa. Sasa kila siku linanisumbua kwenye simu...kwamba nilirudishie vitu vyake lilivyokua linanipa...mfano...cheni...simu..nguo...etc

Limesema..na nukuu.." litanifanya mbaya..litanipasua"

Nisaidieni wadau...ushauri.

si ulikula? ni zamu ya kuliwa sasa!! hakuna cha bure duniani.
 
Aibu gani hii Mungu wangu................. nyie ndio mnakujaga humu ooh! mwanamke akihongwa nihalali ila mwanaume sio halali? mnauliza hayo maswali, kwa maana kuwa mnataka kuhongwa ila vya masugar mamy vinarudishwa......... kazi kwako tena akutenganishe kiuno na mgongo, yani vijana wa siku hizi mnapenda kuhongwa ndio maana mnakimbilia kwa masugar mamy............. fyuuuuuuu!!!!!!!!!!!!
 
Wadau....nilikua na sugar mamy moja ivi mitaa ya tandika. Kusema ukweli likikua likinifadhili mambo mengi. Lakin kutokana na tabia yake ya mawivu ya kijinga na kujifanya kunibana...kila time niwe nalo..kiukweli nilishindwa kuvumilia. Hasa makelele yake...kila siku kesi..na ugomvi usioisha. Ikabidi nilikimbie na kuja huku Mtwara. Ndiko nnakofanyia kazi kwasasa. Sasa kila siku linanisumbua kwenye simu...kwamba nilirudishie vitu vyake lilivyokua linanipa...mfano...cheni...simu..nguo...etc

Limesema..na nukuu.." litanifanya mbaya..litanipasua"

Nisaidieni wadau...ushauri.

vizuri sana mnapenda mteremko kwa kutembea na mama zenu na bado HIV litakua limekuachia nyambafu
 
We Bata umeshatuona sisi wa kutuletea story za .......acha ujinga fanya kazi, kwani umechaguliwa chuo kipi? sababu kuna vingine vimeshafungua......stupid wewe! (sio tusi refer kwenye kesi ya Sugu)....
 
Unaona kazi gan kurudisha? Au unasubiri akushushe busha?
 
Una kithembe au kithethe kama radhia?

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
1379315989690.jpg .
Rudisha meen. Mia
 
:A S 576:Inasikitisha saana kuona hata sasa kijana mwenye uwezo wa kufanya kazi anaweka uhai wake, utu wake na ujana wake rehani kisha kufanya kiuno chake kuwa ajira. Kimsingi angekuwa ni mpenzio hukupaswa kurudisha kwani zawadi hazina refund. Lakini kwakuwa ulihongwa kwa matumizi ya kumridhisha huyo shuga mumy, na ukaamua kuvunja mkataba naye inabidi urudishe vitu vyake ili na yeye aweze kuvihonga kwa wenzio ambao wana tabia za kupenda kuwekwa mjini.

hao ni mashogadady mkuu!!
 
zitaje terms za mkataba wenu wa ufuska then nitarudi ku comment !!halafu huyo mama mume wake si kafa kwa ukimwi?
 
Best subiri shule na vyuo vifungue...watapungua tu hawa machalii

hivi wewe mbona muongo muongo?ni ushamba wa kutumia mitandao au ni nini?
Acha umburula wa kutujazia mithread ya kishenzy shenzy stori za kifala kifala
 
Wadau....nilikua na sugar mamy moja ivi mitaa ya tandika. Kusema ukweli likikua likinifadhili mambo mengi. Lakin kutokana na tabia yake ya mawivu ya kijinga na kujifanya kunibana...kila time niwe nalo..kiukweli nilishindwa kuvumilia. Hasa makelele yake...kila siku kesi..na ugomvi usioisha. Ikabidi nilikimbie na kuja huku Mtwara. Ndiko nnakofanyia kazi kwasasa. Sasa kila siku linanisumbua kwenye simu...kwamba nilirudishie vitu vyake lilivyokua linanipa...mfano...cheni...simu..nguo...etc

Limesema..na nukuu.." litanifanya mbaya..litanipasua"

Nisaidieni wadau...ushauri.

TUPIAMO FOTO YA HILO BAUNSA TUONE LILIVYO KABLA HALIJAKUPASUA. Vinginevyo tunakutakia kupasuliwa kwema kaka Marioooo
 
Back
Top Bottom