Recent content by dada dori

  1. D

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa

    Maeneo ya morogoro mjini,tungi ardhi wanauza milioni 3.Turiani milioni 3 nayo???
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Nyumba: Je, ninaweza kujenga kanyumba kadogo kazuri kwa bajeti ya Mil. 6!?

    Unaweza sana tu,lkn inategemea eneo.tumia tofali za kuchoma&uchome mwenyewe.tofali elfu kumi ni laki 2 mtu akikufyatulia.gharama za kuni ni laki 1.matofali hayo yanajenga vyumba 4-5.kujenga chumba kimoja ni laki moja.kuchimba mashimo shimo kubwa laki3+kujengea laki 2na nusu,hujaomba heri.shimo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ndoto ya kushika konokono

    Habari wana jf. naomba msaada wenu kwa anayejua maana ya kuota ndoto ya kumshika konokono.asanteni
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodisha kwa ajili ya kilimo

    Hayo ya morogoro zaidi ya heka 40,yako sehemu gani&kila heka ni sh ngapi?@Abuu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Msingi wa nyumba

    Asanteni sana kwa msaada wenu!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Msingi wa nyumba

    Ni hivi,fundi anasema kuwa msingi sio lazima niweke zege,ameshauri kuwa msingi ukishachimbwa ashindilie mchanga halafu aanze kuweka tofali.Zege niweke kwenye linta.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Msingi wa nyumba

    Asanteni sana kwa msaada wenu.Nyumba najengea maeneo ya morogoro
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Msingi wa nyumba

    Habari wana JF, Naomba msaada kwa wazoefu&wataalamu wa ujenzi wa nyumba kuhusu msingi wa nyumba.Je ni kweli msingi wa nyumba ya matofali ya kuchoma huwa unajengwa kwa kushindilia mchanga tu na kupanga matofali bila zege na nyumba ikadumu? Naomba msaada wenu&mbarikiwe.
  9. D

    JamiiForums Tanzania MH NDALICHAKO:CWT NI JIPU LITUMBULIWE.

    CWT ni jipu,litumbuliwe sasa.Kabla walimu hawajapandishiwa mishahara,michango ya 2% ya mshahara inayokatwa na CWT kila mwezi itolewe .KAMA VITEGA UCHUMI WANAVYO, VINATOSHA.
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya single mothers ni unafiki mtupu

    Vp kuhusu single father?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msaada;kuhusu biashara ya kuuza mchele.

    Asante KICHAKORO.Mm kwa upande wangu nimeona wateja wangu wakubwa watakuwa ni mama ntilie ambao wanatumia mchele kupikia wali kila siku.Plan yangu ni kuwa niwe nawasambazia kwenye maeneo yao!Kwa kuwa ndio naanza,nitaanza kununua mchele kidogo ili niangalie hali ilivyo!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada;kuhusu biashara ya kuuza mchele.

    Asanteni sana.Nataka nifanyie hapa morogoro!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msaada;kuhusu biashara ya kuuza mchele.

    Nawasalimu wana jf!Naomba ushauri na msaada kwa anayejua biashara ya kuuza mchele na changamoto zake.Niko moro!
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Hi!hata mm napenda marafiki,tuwasiliane!
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ada na Michango mashuleni kwa ajili ya mwaka ujao, imeagizwa kama kawaida!

    Mpaka waraka utolewe na wizara ya elimu wa kufuta michango yote,ndipo watoto hawataagizwa.MAMBO YA KIOFISI NI MAMBO MAALUMU NA YANAENDA KIMAANDISHI.
Back
Top Bottom