Viwanja vinauzwa

memory card

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
256
163
Habar zenu wanajamvi, kuna viwanja vinauzwa kwa ajili ya ujenzi, viwanja hivyo vimepimwa na vna ukubwa wa 30 kwa 20 Viwanja vinapatikana mkoani morogoro wilaya ya mvomero tarafa ya turiani. Viwanja vinapatikana kwa shilingi za kitanzania millioni tatu (3,000,000) kwa kila kiwanja. Kwa mawasiliano zaidi #0716590309 au 0743753967. Nyote mnakaribishwa
 
Back
Top Bottom