Da kweli madalali wana pesa hasa hawa wa azam.ndo maana magari yetu tunauza kwa hasara ivi kimo*2 atakuwa keshajenga kweli maana niliona ametuza kama thamani ya mifuko 20 ya cement if not more
Yani nimecheka nilinuia kuamka saa tisa nisome hii habari maana nlijua sitapata nafasi.scene tatu zimenifutahisha sana,shanga,heart broker na lara1 na shoste.Aisee lara kwa scripts hizi vocha halali yako kabisaa
Hapana rafiki utakuwa tu hujanielewa tu. kuna vitu ukivijua kwa undani havitakusumbua na vikikukuta utajua njia ya kutatua kwa faida otherwise kwa waelewa wameelewa sory kwa wale walimisconstrue my opinion
Hata wangekamatwa just now it won't make any difference or add any value to th e deceased and the survivor therefore i woud like to call upon Mr Mengi to distribute the so called "zawadi of 50m" to the survive family of the deceased na kuwaacha wauaje wakalipwe panapostahili after all hata...
nikienda kukata ticket ya ndege sipewi receipt,tanesco hawanipi receipt wanaprint tu nimelipa kwenye bill,muwasa nao cijawahi ona receipt yao,saloon ni moja tu nimewahi kupewa receipt,supermarket labda kubwa ndo napewa,maduka ya nguo nikidai receipt wananiuliza naenda wapi,watu wa parking ndo...
mada ni nzuri kwa sababu kuna hadithi mbalimbali sana kuhusu Roma na wajesuit sa watu waashaanza kuchanganya mbaazi .Hivi hata usipokula nguruwe ukawa mtukanaji,mwivi,muasherati mpiga ramli etc huyo unayemwabudu utamwona?
Mara nyingi mawazo na mitizamo yetu katika maisha yanachangiwa na vitu vingi ikiwemo mazingira ya asili tulikozaliwa kwa hiyo kwa kauli hii sikulaumu nalaumu mazingira ya asili uliyotokea
Mnamshambulia lakini crdb ni tatizo nimeona bank statement ya mwezi ulioisha imebaki elfu tatu na niliacha last elfu hamsini last year january ngoja nione watakata nini maana imeisha
Kweli bana.nina rafiki kamaliza phd chuo flani hapa hawaimbii watu halafu maboss wamemfanya reference yaani hawezi kuandika sentence mbili kwa kingereza kilichonyooka hizi elimu mola atunusuru
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.