Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Wanabodi,

Mara moja moja haswa siku za Jumapili ninapojikuta nina nafasi, nitakuwe naweka mada fikirishi za kuwasaidia watu kujitambua na kumuabudu au kumtumikia Mungu wa kweli, kwa sababu kuna wenzetu wengi wana mwabudu shetani bila wao kujijua wakidhani ni Mungu, kwa sababu shetani ni imposter, anapenda ku pose na kuji pretends yeye ni Mungu!.

Hata Bwana Wetu Yesu Kristo aliwahi kutufundisha kuwa watakuja watu, watafanya ya ishara na miujiza ya uponyaji na kutoa mapepo kwa jina langu (Kwa Jina La Yesu...), lakini sio wangu!. Jee utawajuaje?!.

Kwanza naomba kukiri, nimekuwa inspired kuandika uzi huu kutokana na uzi wa Mkuu huyu,

9. Miujiza na maono waliyokuwa nayo mitume ni uwezo alionao kila mwanadamu.

Watu wengi hudhani yale ni miujiza kutoka kwa Mungu kitu ambacho sio kweli, it just how they succeed to activate their pineal gland. Pineal gland ni part ya ubongo iliopo kati lakini chini ya ubongo wa kila mwanadamu. ingia ata google uone picha. Ukiweza kuactivate pineal gland unafungua nguvu zako za maono na miujiza. pineal gland kwa kishwahili wanaita jicho la tatu.

Ile miujiza sijui maono just ni psychic powers ambazo kila binadamu anazo sema zinatofautiana tu kidogo.

Mkuu Mashaxizo, hapa nakubaliana na wewe na hili mimi niliishalizungumzia hapa
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo Bila Kujijua!.

Ila hii hoja yako ya hakuna Mungu, ni kazi ya shetani, unaweza kuwa unaifanya kwa kujijua, au you are just possessed bila wewe kujijua!., hivyo kuna uwezekano pia wako wengi wasioamini uwepo wa Mungu, hivyo naamini mada hii inaweza kuwafungua macho japo kidogo

Mungu yupo ndio The Almighty God, The Supreme Being!, Mwanzo na Mwisho, yaani Alfa na Omega, ambaye vitu vyote vimeumbwa nae.

Mungu yuko kwenye form ya spirit, God is Powers of Light, ni Nguvu za Mwanga, na shetani ni powers of darkness, nguvu za giza, hivyo Mungu ndio nguvu inayowezesha kila kitu, ikiwemo uhai 'life force' ambayo kila binadamu amepewa!. Kwa maneno mengine sisi binadamu wote tuna Uungu ndani yetu, bali tunaukubali ushetani ulioko nje na kuuingiza ndani yetu kwa kujijua au bila kujijua!.

Mungu mwenyewe ana sifa kuu Nnne

  1. Mungu ni omnipotent (all-powerful), Mungu ndio mwenye nguvu kupita nguvu nyingine zozote, ana emetupa sisi binadamu sehemu ya nguvu hizo kupitia 'WillPower'.
  2. Mungu ni omnipresent (in all places at the same time), yaani yuko mahali pote kwa wakati mmoja, ikimanisha Mungu yuko ndani yetu, na yote ambayo Mungu anayetenda anayatenda kutokea ndani yako!.
  3. Mungu ni omniscient (He knows everything), hivyo kila kinachotokea Mungu anakijua, yakitokea majanga, japo yanasababishwa na shetani, Mungu alijua na asipozuia inamaana ame approve, hivyo jambo lolote linalotokea, lilikuwa litokee, liwe zuri au baya ni kazi ya Mungu kwa sababu hata shetani yuko chini ya mamlaka ya Mungu.
  4. Mungu ni omnibenevolent (He only does things that are all good), yaani alipouomba ulimwengu na vyote vilivyomo alidhamiria yute yawe ni mema na mazuri tuu, ila shetani alipoasi, ndie mwenye jukumu la majanga, mateso na maovu yote!.
  5. Mungu alipomuumba binadamu, alimuwekea Uungu ndani yake, lakini pia akampa choice ya utashi wa kuamua au amfuate Mungu kwa kutenda yaliyo mema pekee, au amfuate shetani, kwa kutenda yaliyo maovu!.
  6. Tunaposema kutenda sio lazima matendo, actions, hata kwa kuwaza tuu mawazo maovu ni kumtumikia shetani, au kwa kusema maneno maovu, ni kumtumikia shetani.
  7. Shetani ana mission moja tuu duniani, kuyafanya yale yote yaliyo kinyume na Mungu, na utendaji wa shetani ni kama ulivyo utendaji wa Mungu, yaani ile njia Mungu anayoitumia kumpa nguvu mwanadamu, ndio njia hiyo hiyo shetani anaitumia kumpoteza mwanadamu, tofauti pekee kati ya nguvu za Mungu na nguvu za shetani, nguvu za Mungu ni original na ziko ndani ya binadamu tangu siku ile ameumbwa, yaani ziko within, wakati nguvu za shetani ziko nje na ziliingizwa ndani kupitia kula tunda, hivyo ni aquired.
  8. Hivyo chochote kinachotokea duniani ni ama kwa nguvu za Mungu Baba, Nguvu za Mungu Mwana, Yesu au nguvu za Mwanga, yaani Holly Spirit, ama kwa nguvu za shetani, nguvu za giza powers of the devil, powers of darkness na kuna wakati mwingine nguvu hizi hutumika kutenda mema au miujiza kama chambo, kwa shetani kuji disguise as God ili aweze kupata mavuno makubwa, hivyo kuna wahubiri kibao, wanafanya hadi miujiza kwa kutumia jina Mungu,na Kwa Jina la Yesu, lakini sii wa Mungu bali ni tricks za shetani. Mojs ya kazi kubwa ya shetani ni kuwaaminisha binadamu kuwa hakuna Mungu kama anachofanya mtoa mada hii, anamtumikia shetani kwa kujua au bila kujijua, namna pekee ya kumsaidi ni maombi ili afunguliwe toka kwenye giza alimo aone mwanga.
  9. Tofauti pekee kati ya wema wa Mungu, na wema wa shetani, au miujiza ya Mungu na miujiza ya shetani ni conditionalities, kwa vile nguvu za Mungu ni original na kila mtu amepewa, miujiza ya Mungu au wema wa Mungu hutokea au huweza kufanyika naturally unconditional bila kuwekewa masharti yoyote, kwa Miujiza ya Mungu kutokea, unapaswa kuamini tuu. Lakini miujiza ya shetani au wema wa shetani ni conditional una masharti lazima uyafuate!, ili miujiza ya shetani itendeke au ataambiwa fanya hiki au kile!. Hivyo kuna wengi wanamtumikia shetani bila ya wao kujijua wakidhani wanamtumikia Mungu!.
  10. Ili uweze kujijua unamtumikia nani, au huko unakosali ni kanisa la Mungu wa kweli au kanisa la shetani, kwanza ni wewe mwenyewe kutake your own initiative kutaka kumjua Mungu wa kweli, na hili unaweza kulifanikisha kwa kusoma vitabu vya dini kumjua Mungu kisha jifikirie kile kinachofanyika kwenye dhehebu lako ndicho Mungu alichofundisha?. Muulize Mungu aliyeko ndani yako kwa kujiuliza, kuwa hiki ni sawa?!, utaisikia sauti ikikuambia ukweli halisi!.
  11. Bwana wetu Yesu Kristo ametufundisha jinsi ya kuwatambua manabii wa uongo, turawatambua kwa matendo yao. Mwangalie Padri wako, Pastor wako, Mchungaji wako, Askofu wako, Mtume wako, Mhubiri wako, jee matendo yake yanafanans na Yesu?. Kwa Mungu wa kweli hakuna siri yoyote, ukisali popote kwenye siri yoyote patilie mashaka!.
Hivyo ni kweli kabisa, kuna wengi wetu, wanamwabudu shetani, na kumtumikia Shetani bila wao kujijua huku wakijidhania na wakiamini, wanamwabudu, wana mwamimi, wamamtumaini na kumtumikia Mungu, kumbe sio Mungu bali ni mungu disguised as God!.

Jee wewe hapo unapoabudu hali ikoje?, Unajijua?, Unajitambua?, Jitambue!.

Swali ni jee utajitambuaje?.
Jibu ni moja tuu, angalia matendo ya hapo mahali unapoabudu!.
"Tutawatambua kwa matendo yao!.

Jumapili njema.

Pasco

NB. Pasco wa JF sio Mhubiri, bali ni Mkiristo, aliyeishi maeneo tofauti yenye imani tofauti, na kila alipoishi, alisoma imani za wenyeji, alipoishi Arabuni alisoma Uislamu, alipoishi Bara Hindi, alisoma Hinduism, na Budhaisim, na aliporudi Tanzania alifuatilia dini za asili na mwisho alikuja kujiridhisha kuwa Mungu ni mmoja tuu kwa dini zote.
 
Ni kweli kabisa tunahitaji kujifunza maana hata wachungaji walio wengi wana roho ya shetani badala ya MUNGU.
 
Pasco acha kudanganya watu hiyo hoja ya Mashaxizo inapingana moja kwa moja na namna maandiko yasemavyo...

Isipokuwa huku kwingine ulipoorodhesha habari za nguvu za Mungu na udanganyifu wa shetani kwa kiasi kikubwa kuna ukweli...

Mathalani maelezo ya nambari 9 kwa utashi wangu yana ukweli kiasi fulani na pia yana mushkeli...
 
Last edited by a moderator:
Pasco nimependa uzi wako je unaweza kuchambua dini moja moja na madhehebu yake japo kiufupi ufupi. Mfano Uislamu,Ukristo, Budhism,Hinduism, Shinto, Tao, Uabudu mizimu? Sema unachokijua bila kusita....
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Mara moja moja haswa siku za Jumapili ninapojikuta nina nafasi, nitakuwe naweka mada fikirishi za kuwasaidia watu kujitambua na kumuabudu au kumtumikia Mungu, kwa sababu kuna wenzetu wengi wana mwabudu shetani bila wao kujijua kwa sababu shetani anapenda ku pose kama Mungu!.

Hata Bwana Wetu Yesu Kristo aliwahi kutufundisha kuwa watakuja watu, watafanya ya uponyaji na kutoa mapepo kwa jina langu (Kwa Jina La Yesu...), lakini sio wangu!. Jee utajuaje?!.

Kwanza naomba kukiri, nimekuwa inspired kuandika uzi huu kutokana na uzi wa Mkuu huyu,

Mkuu Mashaxizo, hapa nakubaliana na wewe na hili mimi niliishalizungumzia hapa
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo Bila Kujijua!.

Ila hii hoja yako ya hakuna Mungu, ni kazi ya shetani, unaweza kuwa unaifanya kwa kujijua, au you are just possessed bila wewe kujijua!., hivyo kuna uwezekano pia wako wengi wasioamini uwepo wa Mungu, hivyo naamini mada hii inaweza kuwafungua macho japo kidogo

Mungu yupo ndio The Supreme Being!, Mwanzo na Mwisho, yaani Alfa na Omega, ambaye vitu vyote vimeumbwa nae.

Mungu yuko kwenye form ya spirit, God is Power, ndio nguvu inayowezesha kila kitu, ikiwemo uhai 'life force' ambayo kila binadamu amepewa!. Kwa maneno mengine sisi binadamu wote tuna Uungu ndani yetu, bali tunaukubali ushetani ulioko nje na kuuingiza ndani yetu kwa kujijua au bila kujijua!.

Mungu mwenyewe ana sifa kuu Nnne

  1. Mungu ni omnipotent (all-powerful), Mungu ndio mwenye nguvu kupita nguvu nyingine zozote, ana emetupa sisi binadamu sehemu ya nguvu hizo kupitia 'WillPower'.
  2. Mungu ni omnipresent (in all places at the same time), yaani yuko mahali pote kwa wakati mmoja, ikimanisha Mungu yuko ndani yetu, na yote ambayo Mungu anayetenda anayatenda kutokea ndani yako!.
  3. Mungu ni omniscient (He knows everything), hivyo kila kinachotokea Mungu anakijua, yakitokea majanga, japo yanasababishwa na shetani, Mungu alijua na asipozuia inamaana ame approve, hivyo jambo lolote linalotokea, lilikuwa litokee, liwe zuri au baya ni kazi ya Mungu kwa sababu hata shetani yuko chini ya mamlaka ya Mungu.
  4. Mungu ni omnibenevolent (He only does things that are all good), yaani alipouomba ulimwengu na vyote vilivyomo alidhamiria yute yawe ni mema na mazuri tuu, ila shetani alipoasi, ndie mwenye jukumu la majanga, mateso na maovu yote!.
  5. Mungu alipomuumba binadamu, alimuwekea Uungu ndani yake, lakini pia akampa choice ya utashi wa kuamua au amfuate Mungu kwa kutenda yaliyo mema pekee, au amfuate shetani, kwa kutenda yaliyo maovu!.
  6. Tunaposema kutenda sio lazima matendo, actions, hata kwa kuwaza tuu mawazo maovu ni kumtumikia shetani, au kwa kusema maneno maovu, ni kumtumikia shetani.
  7. Shetani ana mission moja tuu duniani, kuyafanya yale yote yaliyo kinyume na Mungu, na utendani wa shetani ni kama ulivyo utendaji wa Mungu, yaani ile njia Mungu anayoitumia kumpa nguvu mwanadamu, ndio njia hiyo hiyo shetani anaitumia kumpoteza mwanadamu, tofauti pekee kati ya nguvu za Mungu na nguvu za shetani, nguvu za Mungu ni original na ziko ndani ya binadamu tangu siku ile ameumbwa, yaani ziko within, wakati nguvu za shetani ziko nje na ziliingizwa ndani kupitia kula tunda, hivyo ni aquired.
  8. Hivyo chochote kinachotokea duniani ni ama kwa nguvu za Mungu au nguvu za Mwanga, yaani Holly Spirit, ama kwa nguvu za shetani, nguvu za giza powers of the devil, na kuna wakati mwingine nguvu hizi hutumika kutenda mema au miujiza kama chambo, kwa shetani kuji disguise as God ili aweze kupata mavuno makubwa, hivyo kuna wahubiri kibao, wanafanya hadi miujiza kwa kutumia jina Mungu, lakini sii wa Mungu bali ni tricks za shetani. Majo ya kazi kubwa ya shetani ni kuwaaminisha binadamu kuwa hakuna Mungu kama anachofanya mtoa mada hii, anamtumikia shetani kwa kujua au bila kujijua, namna pekee ya kumsaidi ni maombi ili afunguliwe toka kwenye giza alimo aone mwanga.
  9. Tofauti pekee kati ya wema wa Mungu, na wema wa shetani, au miujiza ya Mungu na miujiza ya shetani ni conditionalities, kwa vile nguvu za Mungu ni original na kila mtu amepewa, miujiza ya Mungu au wema wa Mungu hutokea au huweza kufanyika naturally unconditional bila kuwekewa masharti yoyote, kwa Miujiza ya Mungu kutokea, unapaswa kuamini tuu. Lakini miujiza ya shetani au wema wa shetani ni conditional una masharti lazima uyafuate!, ili miujiza ya shetani itendeke au ataambiwa fanya hiki au kile!. Hivyo kuna wengi wanamtumikia shetani bila kujijua wakidhani wanamtumikia Mungu!.
  10. Ili uweze kujijua unamtumikia nani, au huko unakosali ni kanisa la Mungu au la shetani, kwanza ni wewe mwenyewe kutake your own initiative kutaka kumjua Mungu wa kweli, na hili unaweza kulifanikisha kwa kusoma vitabu vya dini kumjua Mungu kisha jifikirie kile kinachofanyika kwenye dhehebu lako ndicho Mungu alichofundisha?. Muulize Mungu aliyeko ndani yako kwa kujiuliza, kuwa hiki ni sawa?!, utaisikia sauti ikikuambia ukweli halisi!.
Hivyo ni kweli kabisa, kuna wengi wetu, wanamwabudu shetani, na kumtumikia Shetani huku wakijidhania na wakiamini, wanamwabudu na kumtumia ni Mungu.

Jee wewe hapo unapoabudu hali ikoje?, Unajijua?, Unajitambua?, Jitambue!.

Jumapili njema.

Pasco

NB. Pasco wa JF sio Mhubiri, bali ni Mkiristo, aliyeishi maeneo tofauti yenye imani tofauti, na kila alipoishi, alisoma imani za wenyeji, alipoishi Arabuni alisoma Uislamu, alipoishi Bara Hindi, alisoma Hinduism, na Budhaisim, na aliporudi Tanzania alifuatilia dini za asili na mwisho alikuja kujiridhisha kuwa Mungu ni mmoja tuu kwa dini zote.

Uislaam umesoma juzuu ngapi ? tupe tafsiri ya surat Fat'ha au Ikh'las
 
Pasco acha kudanganya watu hiyo hoja ya Mashaxizo inapingana moja kwa moja na namna maandiko yasemavyo...

Isipokuwa huku kwingine ulipoorodhesha habari za nguvu za Mungu na udanganyifu wa shetani kwa kiasi kikubwa kuna ukweli...

Mathalani maelezo ya nambari 9 kwa utashi wangu yana ukweli kiasi fulani na pia yana mushkeli...
Yap,ni kweli hapo kwenye no.9 pana tatizo,sio kweli kuwa miujiza ya kimungu huwa haina masharti.....rejea hadithi ya amirijeshi mwenye ukoma alipoambiwa na elisha akaoge mto yordan mara saba.je!?aliyetoa hilo sharti hakuwa nabii wa mungu?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco nimesoma mada yote.

Check maelezo yako haya:

"… Mungu yuko kwenye form ya spirit, God
is Power, ndio nguvu inayowezesha kila
kitu, ikiwemo uhai 'life force' ambayo
kila binadamu amepewa!. Kwa maneno
mengine sisi binadamu wote tuna
Uungu ndani yetu,
bali tunaukubali
ushetani ulioko nje na kuuingiza ndani
yetu kwa kujijua au bila kujijua!.…"

Underline kweli tupu.

Na hiko ndiko nilikokimanisha kwenye ile point no 9.

Huyo Mungu mwengine unaemzungumzia ndio issue. Naweza kusema Mungu huyo sio tu nampinga mimi bali hata Muslim hawamkubali Mungu huyo (wa kwenye biblia) na dini zote zilizobaki hawamkubali Mungu huyo. Na ikiwa tu unaiamini biblia kwamba ni maneno ya Mungu hilo ni chaka ambalo ukiisoma tu biblia yote ni lazima uweke mushkeli mwingi tu. Na hali hiyo infact ipo hata kitabu chengine Quran kwamba kunamushkel too. Chaajabu ni kwamba hivyo vitabu vinatafsiriwa kisiasa kiasi cha kumfanya Muislamu aikubali Quran licha ya error zake na kufanywa aipinge biblia kwa nguvu zote na hali hiyo hiyo ndio inawafanya wakiristo waikubali biblia na kuipinga quran kwa nguvu zote. Na pia Ukumbuke Mungu wa wakiristo si Mungu wa waislam na kinyume chake ni kweli.

Haiwezekani hao wote wawe sahihi. But jiulize nani hayuko sahihi kati ya hao? (hapo naacha)

Unazungumzia suala la kumtumikia shetani na ukaeleza mtu anaweza kumtumikia shetani kwa kujua or kutokujua.

Labda tuanze na swali hapa. SHETANI NI NANI? Nimeuliza hivyo kwani Shetani anatafriwa tofauti kutokana na Imani tofauti.

Hakuna kiumbe aitwae shetani, shetani ni hali ya kutoka ktk rehma za Mungu (kwa uelewa wangu) Sasa mimi nikikana huyo Mungu mwenyewe hayupo hiyo nadharia ni sawa na zero. Nadharia ya shetani naifananisha na nadharia ya 'ukafiri' na 'ugaidi' ------ ni asiemuamini Allah kwa mantiki hiyo hata wewe Pasco ni kaf.iri. Jee unapata tatizo gani kwa waislamu kukuchukulia hivyo?

Pia nadharia ya shetani ni kama wanavyochukuliwa wanaoamini Mungu kwamba ni 'blocked mind' sasa wewe kuambiwa ni blocked mind inakuathiri nini? in fact haikuathiri lolote coz ujajiamini unachokiamini ni sahihi, sadly hata anaeitwa muabudu shetani haathiriki na lolote then hata yeye anafil the same kama wewe tu kuitwa kafi.ri or blocked mind = naye anajiamini kwa kuamini anachomini ni sahihi.

Dont confuse btn shetani na jini.
 
Last edited by a moderator:
Pasco acha kudanganya watu hiyo hoja ya Mashaxizo inapingana moja kwa moja na namna maandiko yasemavyo...

Isipokuwa huku kwingine ulipoorodhesha habari za nguvu za Mungu na udanganyifu wa shetani kwa kiasi kikubwa kuna ukweli...

Mathalani maelezo ya nambari 9 kwa utashi wangu yana ukweli kiasi fulani na pia yana mushkeli...

Uko sahihi hapo uliponiongelea but hata Pasco yuko sahihi kwa hapo ulipoona amepingana na maandiko. Kunaushahidi wa biblia Mkuu na hapo ndipo niliposema vitabu vitakatifu vinajicontradict, ni waumini wachache sana wanaosoma kitabu chote na kujaribu kupitia na vitabu vyavimani nyengine.

Pasco amequote kijisehemu tu kupitia uzi nilioeka. hope umeuona.
 
Last edited by a moderator:
Uislaam umesoma juzuu ngapi ? tupe tafsiri ya surat Fat'ha au Ikh'las

aisee nyie jamaa mnaoquote thread nzima na kuandika sentensi mbili hua mnatuboa; kwanini usireply tu kwakua ukifanya hivyo mtoa mada ataona tu comment yako na kukujibu if that is the case.
 
Wanabodi,

Mara moja moja haswa siku za Jumapili ninapojikuta nina nafasi, nitakuwe naweka mada fikirishi za kuwasaidia watu kujitambua na kumuabudu au kumtumikia Mungu, kwa sababu kuna wenzetu wengi wana mwabudu shetani bila wao kujijua kwa sababu shetani anapenda ku pose kama Mungu!.

Hata Bwana Wetu Yesu Kristo aliwahi kutufundisha kuwa watakuja watu, watafanya ya uponyaji na kutoa mapepo kwa jina langu (Kwa Jina La Yesu...), lakini sio wangu!. Jee utajuaje?!.

Kwanza naomba kukiri, nimekuwa inspired kuandika uzi huu kutokana na uzi wa Mkuu huyu,

Mkuu Mashaxizo, hapa nakubaliana na wewe na hili mimi niliishalizungumzia hapa
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo Bila Kujijua!.

Ila hii hoja yako ya hakuna Mungu, ni kazi ya shetani, unaweza kuwa unaifanya kwa kujijua, au you are just possessed bila wewe kujijua!., hivyo kuna uwezekano pia wako wengi wasioamini uwepo wa Mungu, hivyo naamini mada hii inaweza kuwafungua macho japo kidogo

Mungu yupo ndio The Supreme Being!, Mwanzo na Mwisho, yaani Alfa na Omega, ambaye vitu vyote vimeumbwa nae.

Mungu yuko kwenye form ya spirit, God is Power, ndio nguvu inayowezesha kila kitu, ikiwemo uhai 'life force' ambayo kila binadamu amepewa!. Kwa maneno mengine sisi binadamu wote tuna Uungu ndani yetu, bali tunaukubali ushetani ulioko nje na kuuingiza ndani yetu kwa kujijua au bila kujijua!.

Mungu mwenyewe ana sifa kuu Nnne

  1. Mungu ni omnipotent (all-powerful), Mungu ndio mwenye nguvu kupita nguvu nyingine zozote, ana emetupa sisi binadamu sehemu ya nguvu hizo kupitia 'WillPower'.
  2. Mungu ni omnipresent (in all places at the same time), yaani yuko mahali pote kwa wakati mmoja, ikimanisha Mungu yuko ndani yetu, na yote ambayo Mungu anayetenda anayatenda kutokea ndani yako!.
  3. Mungu ni omniscient (He knows everything), hivyo kila kinachotokea Mungu anakijua, yakitokea majanga, japo yanasababishwa na shetani, Mungu alijua na asipozuia inamaana ame approve, hivyo jambo lolote linalotokea, lilikuwa litokee, liwe zuri au baya ni kazi ya Mungu kwa sababu hata shetani yuko chini ya mamlaka ya Mungu.
  4. Mungu ni omnibenevolent (He only does things that are all good), yaani alipouomba ulimwengu na vyote vilivyomo alidhamiria yute yawe ni mema na mazuri tuu, ila shetani alipoasi, ndie mwenye jukumu la majanga, mateso na maovu yote!.
  5. Mungu alipomuumba binadamu, alimuwekea Uungu ndani yake, lakini pia akampa choice ya utashi wa kuamua au amfuate Mungu kwa kutenda yaliyo mema pekee, au amfuate shetani, kwa kutenda yaliyo maovu!.
  6. Tunaposema kutenda sio lazima matendo, actions, hata kwa kuwaza tuu mawazo maovu ni kumtumikia shetani, au kwa kusema maneno maovu, ni kumtumikia shetani.
  7. Shetani ana mission moja tuu duniani, kuyafanya yale yote yaliyo kinyume na Mungu, na utendani wa shetani ni kama ulivyo utendaji wa Mungu, yaani ile njia Mungu anayoitumia kumpa nguvu mwanadamu, ndio njia hiyo hiyo shetani anaitumia kumpoteza mwanadamu, tofauti pekee kati ya nguvu za Mungu na nguvu za shetani, nguvu za Mungu ni original na ziko ndani ya binadamu tangu siku ile ameumbwa, yaani ziko within, wakati nguvu za shetani ziko nje na ziliingizwa ndani kupitia kula tunda, hivyo ni aquired.
  8. Hivyo chochote kinachotokea duniani ni ama kwa nguvu za Mungu au nguvu za Mwanga, yaani Holly Spirit, ama kwa nguvu za shetani, nguvu za giza powers of the devil, na kuna wakati mwingine nguvu hizi hutumika kutenda mema au miujiza kama chambo, kwa shetani kuji disguise as God ili aweze kupata mavuno makubwa, hivyo kuna wahubiri kibao, wanafanya hadi miujiza kwa kutumia jina Mungu, lakini sii wa Mungu bali ni tricks za shetani. Majo ya kazi kubwa ya shetani ni kuwaaminisha binadamu kuwa hakuna Mungu kama anachofanya mtoa mada hii, anamtumikia shetani kwa kujua au bila kujijua, namna pekee ya kumsaidi ni maombi ili afunguliwe toka kwenye giza alimo aone mwanga.
  9. Tofauti pekee kati ya wema wa Mungu, na wema wa shetani, au miujiza ya Mungu na miujiza ya shetani ni conditionalities, kwa vile nguvu za Mungu ni original na kila mtu amepewa, miujiza ya Mungu au wema wa Mungu hutokea au huweza kufanyika naturally unconditional bila kuwekewa masharti yoyote, kwa Miujiza ya Mungu kutokea, unapaswa kuamini tuu. Lakini miujiza ya shetani au wema wa shetani ni conditional una masharti lazima uyafuate!, ili miujiza ya shetani itendeke au ataambiwa fanya hiki au kile!. Hivyo kuna wengi wanamtumikia shetani bila kujijua wakidhani wanamtumikia Mungu!.
  10. Ili uweze kujijua unamtumikia nani, au huko unakosali ni kanisa la Mungu au la shetani, kwanza ni wewe mwenyewe kutake your own initiative kutaka kumjua Mungu wa kweli, na hili unaweza kulifanikisha kwa kusoma vitabu vya dini kumjua Mungu kisha jifikirie kile kinachofanyika kwenye dhehebu lako ndicho Mungu alichofundisha?. Muulize Mungu aliyeko ndani yako kwa kujiuliza, kuwa hiki ni sawa?!, utaisikia sauti ikikuambia ukweli halisi!.
Hivyo ni kweli kabisa, kuna wengi wetu, wanamwabudu shetani, na kumtumikia Shetani huku wakijidhania na wakiamini, wanamwabudu na kumtumia ni Mungu.

Jee wewe hapo unapoabudu hali ikoje?, Unajijua?, Unajitambua?, Jitambue!.

Jumapili njema.

Pasco

NB. Pasco wa JF sio Mhubiri, bali ni Mkiristo, aliyeishi maeneo tofauti yenye imani tofauti, na kila alipoishi, alisoma imani za wenyeji, alipoishi Arabuni alisoma Uislamu, alipoishi Bara Hindi, alisoma Hinduism, na Budhaisim, na aliporudi Tanzania alifuatilia dini za asili na mwisho alikuja kujiridhisha kuwa Mungu ni mmoja tuu kwa dini zote.

Ni ww uliyetumia ID ya mashaxizo then unatetea uongo wako
 
Uko sahihi hapo uliponiongelea but hata Pasco yuko sahihi kwa hapo ulipoona amepingana na maandiko. Kunaushahidi wa biblia Mkuu na hapo ndipo niliposema vitabu vitakatifu vinajicontradict, ni waumini wachache sana wanaosoma kitabu chote na kujaribu kupitia na vitabu vyavimani nyengine.

Pasco amequote kijisehemu tu kupitia uzi nilioeka. hope umeuona.

Mkuu katika nambari 9, Pasco kaelezea kuwa miujiza ya Mungu huwa haina masharti au matakwa kwa yule atarajiaye au aliyekusudiwa muujiza...

Sasa hapa ndio ninapoona kuna utata kwani si kweli kuwa miujiza yote huja bila masharti...

Ukijaribu kusoma katika Biblia namna ambavyo mitume na manabii wa Mungu walitenda miujiza, kuna matukio mengi tu ambayo iliwapaswa wazingatie mashauri au masharti fulani toka kwa Mungu ndipo muujiza utendeke...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom