Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,932
Nipeni ushauri jinsi ya kumuhudumia mtoto bila mama yake kunufaika make sitaki huyu mwanamke aonje pesa zangu ninazotoa kwa ajili huyo mtoto.
tangu nianze kutoa gharama za matunzo huyu mwanamke anazidi tu kunawiri inaniuma sana.
Umetafuta kwanza siri ya kunawili kwake? Isijekuwa kwa sasa ana-peace of mind kwa wewe kutoa huduma kwa mtoto, halafu mtoto ni mbishi kula.