Recent content by cyhper_kyrpton

  1. cyhper_kyrpton

    Mambo 4 ya kufanya mwanamke akupende

    Dawa y mwanamke n umteke kweny mapenz ayo mengine n nothing kujizeesha tu
  2. cyhper_kyrpton

    How to study physics

    Naimani itakuwa msaada mkubwa
  3. cyhper_kyrpton

    How to study physics

    Am mechanical engineer fouth year.Ninachotaka kukwambia n kwamba physics ina formula katika kusoma 1.Unatakiwa kwanza ujue ubongo wako una GB ngapi i.e una uwezo mkubwa wa kukumbuka au n wakuelewa n kusahau haraka. 2.Unatakiwa upate mwalimu sahihi wa tution au kukufundisha.Apa ukichemsha ndio...
  4. cyhper_kyrpton

    Kosa hili ni kubwa sana, rais Magufuli kafanya

    Naomba uniambie n kitu gani amekifanya ili kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja kimaisha
  5. cyhper_kyrpton

    Alikiba sio star?

    Km ni hivyo basi n masuper star wangekuw wanaenda gym za mtaani ....unaua brand kihivyo simsapoti kiba kwan hawezi chagua hata timu moja anayo ipenda akawa anaenda kufany nayo mazoezi coz yy n star hawezi kataliwa
  6. cyhper_kyrpton

    Diamond mziki umekushinda na video yenyewe haina maadili

    Kiazi kweli ww hauna akili mm sishabikii popote ila ww una chuki mnafiki mkubwa kaoge ......huo wimbo n mzuri sana ever sema aujui mziki ww ila kweny ile video y yule dada hata mm ndio nasema kakosea angeondoa kile kipisi tu but all in all he is the legend n nakuhakikishia huo wimbo utachukua...
  7. cyhper_kyrpton

    Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

    Itabidi nianze kufuga kuku ss
  8. cyhper_kyrpton

    Series Kali isiyochosha wala kukinai Tafadhali!

    Innocent defendant ni bonge la dude
  9. cyhper_kyrpton

    Hivi kuna muvi Kali zaidi ya Bourne identity?

    Sniper , The Shooter
  10. cyhper_kyrpton

    Hivi kuna muvi Kali zaidi ya Bourne identity?

    Tears of the sun,Blood and bone, Diamond, undisputed 4, innocent defendant, ....zingine nimesahau
  11. cyhper_kyrpton

    Dunia haina usawa

    Duuu
  12. cyhper_kyrpton

    Dunia haina usawa

    Duuu lini mkuu
Back
Top Bottom