Alikiba sio star?

Alikiba sio star?

dah sasa watu waombe kupiga nae picha wakati yuko uwanjani anacheza mpira?
mbali na muziki hicho ni kitu kingine anachokiweza sana kwahiyo siyo vibaya kukionesha mbele ya jamii
 
Hii simu yako uliopigia hii picha lazima itakuwa tecno lile toleo la mabaamedi.
Mshamba ww hio nime zoom umbali wa mita zaid ya 50 nilikuwepo.. hujui kutofautsh picha ya kuzoom..natumia sim kubwa zaid yko
 
Mpaka unashangaa maana yake unakiri ni star. Ipo hivi, watu wanaokuona kila siku hawawezi kukushangaa.

Kusema kweli natamani siku ali kiba nimuone live ili nimshangae. Huenda ana jina ambalo halitendei haki
Njoo tabat shule siku moja utamuon ten kwavile timu yao imeingia nusu fainal hatokosa kuja na X5 yake
 
Jamaaa amepiga assist safi saaana.

Jamaaa alikusanya kijijini...!

Big up kiba. Maisha ndo hayahaya
Assist hio kapiga jukwaan au uwanjan? Bila shak hukuangalia hio mechi leo
 
Wewe ulimchukuliaje uyo Kiba?star au sio star?tuanzie hapo kwanza.
Samahani Joseverest nimekalia seat yako imetokea bahati mbaya..
Kwa nilivomuona leo pale nmemchukulia sio star
 
Yaani hata kitendo cha wewe kumuandika hapa huoni kuwa kawa STAR
yaani wewe nani kaishawahi kukuandika hapa?
grow up dude
Wew ndo ukue..kwahio kuandikwa tu jamiiforum naww unakua star?shame on you
 
kwenye market strategies Alikiba ni bure kabisa ndio maana hulipwa laki tatu kwa show....
 
Kiba anakuzwa tu kwa kumkomoa flani ila bado sana,ukweli unabaki kama ulivyo,u star hautaki hayo mambo yake,ukiwa kwenye level flan unatakiwa uishi kulingana na jina lilivyo,hatupingi kupiga game mchangani ila anapiga ktk mazingira yapi!? Anashindwa kulinda status yake!
 
Sasa mtu wanamfahamu kabla Hata hajaanza kuimba eti Leo ndio waanze kumshangaa
 
Wew ndo ukue..kwahio kuandikwa tu jamiiforum naww unakua star?shame on you

be positive bro
hivi kwanini umemuandika kiba na haujaniandika mimi?
au kwako star ni kitu gani?
hauoni kuwa kitendo cha wewe tu kudraw attention kwake tayari yeye ni star?
hauoni kuwa kati ya watanzania 50+m umemuandika yeye tu?
 
Km ni hivyo basi n masuper star wangekuw wanaenda gym za mtaani ....unaua brand kihivyo simsapoti kiba kwan hawezi chagua hata timu moja anayo ipenda akawa anaenda kufany nayo mazoezi coz yy n star hawezi kataliwa
 
Inasemekana Mond akienda mahali, anakodisha watu anawajaza kwenye daladala 5-10 kisha wanatangulia eneo la tukio ili akitokea tu, wajifanye wanamshobokea kumbe amewanunua!!!!
 
Inasemekana Mond akienda mahali, anakodisha watu anawajaza kwenye daladala 5-10 kisha wanatangulia eneo la tukio ili akitokea tu, wajifanye wanamshobokea kumbe amewanunua!!!!
Hahahahha duh ww shilawadu
 
Kiba anakuzwa tu kwa kumkomoa flani ila bado sana,ukweli unabaki kama ulivyo,u star hautaki hayo mambo yake,ukiwa kwenye level flan unatakiwa uishi kulingana na jina lilivyo,hatupingi kupiga game mchangani ila anapiga ktk mazingira yapi!? Anashindwa kulinda status yake!
Maybe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom